Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha Raba kali na Raba uliyoipendaKariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia)
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Nyie ndo mnasababishaga wenzenu wajinyongaHizo mkuu huwa tunatengeneza hapa Tandale.
Hamna lolote ndo vile vile tu juzi nimekwenda kinunua yale mabeg ya plastic Yana kua pair 3 kwa 150000 wakati uko instagram uwa wana tangaza 250000 ata ivo nikagundua nimepigwa 10000....so dar kichwa kichwa watu uwa wanapiga sana faida aiseematerial yaliyotumika tengeneza itakuwa tofauti na ndio maana bei huwa tofauti
Unadumu nayo ili iweje?Tofauti ni durability. OG utadumu nacho zaidi maana imara
Unadumu nacho ilu iweje?Zipo sifa kamwe hazipatikani kwenye fake boots - comfort ,durability , quality ,workmanship, material.........
Kapigwa si jagi hilo?huo ni mfano wa NBA snickers ila sio og mkuuWeka picha tuone kama umepigwa au hujapigwa
Fake ni fake tu mkuu huwez kuvaa famba kama hilo nyakati hizi madude kibao ya ukweliHivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Haya kanunue uvae wiki moja ukanunue kingine, maamuzi ni yakoUnadumu nayo ili iweje?
Una uhakika wa kupata kengine?
#YNWA