Wadanganye wakenya, unafikiri Tanzania kama kwenu huko kwenye classes?Hii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.
Wivu mbaya sana....Nairobi ndio halisia kama New York,Guangzhou na London global business centers sababu ndio makao makuu ya kampuni nyingi za dunia Africa .Hii Kariakoo yenu ni kama Bujumbura tu in the grand scheme of business centers of importance in Africa.
Wivu huleta chuki ....aa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?
very disorganized place. unapata watu sijui ni wendawazimu mita chache kando ya barabara wanang'ang'ana na kupika vitu visivyoeleweka na cha ajabu, hawakosi wateja
View attachment 1184843
1. Mwanzo kabisa kule panaitwa Gerezani hapo kuna karakana zinatengeneza vitu achaaaa, Kuanzia dude la kupikia vitumbua hadi PIMP my ride! Hapo hapo karibu Building and construction materials.
2. Ukivuka Uhuru street pia kuna construction materials kiasi, ikafuata nguo na Viatu hasa mtaa wa Congo na Mtaa wa Narungβombe (hapa huna hata pa kukanyaga ( Wanapaita China Town sasa) Hapa ndio soko la viatu, Ndio penyewe.
3.Jengo lenyewe la kariakoo kama kawa, una pata kila kitu hadi plau pezi [emoji23]. Pesticides etc
4 . Shuka chini kidogo mtaa wa mafia unakutana na Pikipiki, Na spare parts.
5 Chini kidogo unapata pia Kila spare parts ya gari yoyote hadi wana Toyota Tanzania ( Genuine Parts)
6. Hapo tunazungumzia Upande wa Kushoto wa Msimbazi street. Kulia kuna maeneo ya Agrey, pale unapata simu yoyote unayoijua wewe na pia unatengenezewa simu yako hata kama imeharibika vipi, ukishika chini upande huo huo wa kulia kuna soko la vitambaa. Hatari.
View attachment 1184841
Hapo kariakoo usiku ndio utajua Kariakoo sio ya mchezo, kila mtaa unazibwa containers zinashusha mizigo.
Zimbwabean, Zambian, Namibian, Botswana , Congo , Shelisheli, Comoro wanadaka mzigo hapo.
Ukitaka kujua nani anakuja sana kuchukua mizigo Hapo kariakoo, Tembelea Hotel zote za karikaoo.
Hadi sasa kuna vijana kazi yao ni kupack mizigo, wamespecialize Wanajua jinsi ya kupanga bwana. Corona vya wazambia na wazimbabwe lazima vishindiliwe vizuri.
Yaani ni Guangzhou ya bongo Maana Kule hadi wanaigeria wamespecialize Kupack mizigo. [emoji23]
Sijaongelea kule lumumba, Duh, Car accessories , Music mnene wa gari yako , Tairi etc ndio pale . Inapark Modern Coast na Tahmeed.
Kulingana na mizigo inayobebwa hapo, kama hadi godoro mtu kapakia, Labda awe anashukia Tanga, Hata kama anaenda nalo mombasa, Basi litakua bora sana , Au lipo cheap kuliko huko? Au kapewa bure zawadi, yote yanaweza tokea [emoji23]
Kariakoo noma bwana.
Kuna jamaa alipost Malls hapo juu.
Mkuki House, Aura Mall, City mall zote zipo in a walking distance .
Nadhani hakuelewa maana ya mkuu Hapo juu.
View attachment 1184838
View attachment 1184839
View attachment 1184840
You guys your not busy compare to kariakooTatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.
Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa
Umeishiwa naona unaleta porojo tu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1184827View attachment 1184828
Huenda ni render but that shit is operational. The biggest east and central Africa has ever seen.Kuna renders za kufa mtu hapa
Uchafu tu huoTatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.
Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa
Am sure Eastleigh kuna doo than hapo,,,plus higher tax collection
Uchafu tu huo
Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki hata unipe milioni mia unambie nichukue uraia wa kenya sikubali
Nchi ya hovyo kuwahi kutokea
Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa
Huwa mnachekesha sana wakenya
Kariakoo kuna nyumba za bati?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you mean nyumba za kawaida??? mkuu, Kariakoo unaijua??? [emoji23] [emoji23]Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
hii sio KariakooHii Kariakor nimeikubali huwezi fikiri iko ile Dar tunasifiwa kila siku, hapa najua rasha rasha tu kidogo matope kila mahali
View attachment 1184722View attachment 1184723View attachment 1184724
Hapo ni Dar lakini?hii sio Kariakoo
Lakini ni Dar?Kkoo aipo baharini ni mbali sana na bahari zaidi ya km4 hiviau km6 kufika baharini
lwiva joto la jiwe jibu hili swaliπππ[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1184827View attachment 1184828
Hapo inaweza kuwa dar siyo tatizo kunamaeneo ya masoko ya samaki wavuvi dar kuna kila kituLakini ni Dar?
Hahaha kariakoo kuwe na vibanda vya mabati? π π Kenya ndio kwenye vibanda vya mabati watu mnalala kwenye mabati utafikiri mpo ndani ya bakeryKariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Hii Sumbawanga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1184827View attachment 1184828