Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Hii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.
Wadanganye wakenya, unafikiri Tanzania kama kwenu huko kwenye classes?
Hakuna mahali kariakoo mtanzania haiwezi access labda kwenu huko
 
Nairobi ndio halisia kama New York,Guangzhou na London global business centers sababu ndio makao makuu ya kampuni nyingi za dunia Africa .Hii Kariakoo yenu ni kama Bujumbura tu in the grand scheme of business centers of importance in Africa.
Wivu mbaya sana....
 
aa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?
very disorganized place. unapata watu sijui ni wendawazimu mita chache kando ya barabara wanang'ang'ana na kupika vitu visivyoeleweka na cha ajabu, hawakosi wateja
Wivu huleta chuki ....
 
Pia hizo modern coast tahmeed na tawakal huwa zinabeba mizigo mingi kutokea kariakoo kupeleka mombasa na Nairobi kwahiyo wafanya biashara wa huko wanachukua mizigo mingi sana huku
View attachment 1184843

1. Mwanzo kabisa kule panaitwa Gerezani hapo kuna karakana zinatengeneza vitu achaaaa, Kuanzia dude la kupikia vitumbua hadi PIMP my ride! Hapo hapo karibu Building and construction materials.

2. Ukivuka Uhuru street pia kuna construction materials kiasi, ikafuata nguo na Viatu hasa mtaa wa Congo na Mtaa wa Narung’ombe (hapa huna hata pa kukanyaga ( Wanapaita China Town sasa) Hapa ndio soko la viatu, Ndio penyewe.

3.Jengo lenyewe la kariakoo kama kawa, una pata kila kitu hadi plau pezi [emoji23]. Pesticides etc

4 . Shuka chini kidogo mtaa wa mafia unakutana na Pikipiki, Na spare parts.

5 Chini kidogo unapata pia Kila spare parts ya gari yoyote hadi wana Toyota Tanzania ( Genuine Parts)

6. Hapo tunazungumzia Upande wa Kushoto wa Msimbazi street. Kulia kuna maeneo ya Agrey, pale unapata simu yoyote unayoijua wewe na pia unatengenezewa simu yako hata kama imeharibika vipi, ukishika chini upande huo huo wa kulia kuna soko la vitambaa. Hatari.

View attachment 1184841

Hapo kariakoo usiku ndio utajua Kariakoo sio ya mchezo, kila mtaa unazibwa containers zinashusha mizigo.

Zimbwabean, Zambian, Namibian, Botswana , Congo , Shelisheli, Comoro wanadaka mzigo hapo.

Ukitaka kujua nani anakuja sana kuchukua mizigo Hapo kariakoo, Tembelea Hotel zote za karikaoo.

Hadi sasa kuna vijana kazi yao ni kupack mizigo, wamespecialize Wanajua jinsi ya kupanga bwana. Corona vya wazambia na wazimbabwe lazima vishindiliwe vizuri.

Yaani ni Guangzhou ya bongo Maana Kule hadi wanaigeria wamespecialize Kupack mizigo. [emoji23]

Sijaongelea kule lumumba, Duh, Car accessories , Music mnene wa gari yako , Tairi etc ndio pale . Inapark Modern Coast na Tahmeed.

Kulingana na mizigo inayobebwa hapo, kama hadi godoro mtu kapakia, Labda awe anashukia Tanga, Hata kama anaenda nalo mombasa, Basi litakua bora sana , Au lipo cheap kuliko huko? Au kapewa bure zawadi, yote yanaweza tokea [emoji23]

Kariakoo noma bwana.

Kuna jamaa alipost Malls hapo juu.

Mkuki House, Aura Mall, City mall zote zipo in a walking distance .
Nadhani hakuelewa maana ya mkuu Hapo juu.

View attachment 1184838

View attachment 1184839

View attachment 1184840
 
Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.

Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa

23-two-rivers-mall-nairobi-kenya-akinyi-adongo.jpg

0fgjhs50pbr1813m.jpg

0fgjhs33r7v9g66hm.jpg

0fgjhs4260bn2fnbk.jpg

0fgjhs759jf3qerkm.jpg

0fgjhs2la2l8gki3ag.jpg

0fgjhs1ik2fuq48vko.jpg

0fgjhs3b0jcikm0s0g.jpg

0fgjhsbp8o66eicae.jpg
You guys your not busy compare to kariakoo
 
Uchafu tu huo

Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki hata unipe milioni mia unambie nichukue uraia wa kenya sikubali

Nchi ya hovyo kuwahi kutokea

Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa

Huwa mnachekesha sana wakenya
 
Huwa mnajshaua hivyo lakini mnajazana huku omba omba

Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Kariakoo kuna nyumba za bati?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you mean nyumba za kawaida??? mkuu, Kariakoo unaijua??? [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha, ninyi mnazungumzia beggars, wakati ninyi majambazi na majizi toka Kenya ni 30% ya wafungwa waliojaza magereza ya Tanzania, na wengi tuliwapiga rusasi, beggars na majambazi, wapi ni zaidi?
 
Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Hahaha kariakoo kuwe na vibanda vya mabati? 😅😅 Kenya ndio kwenye vibanda vya mabati watu mnalala kwenye mabati utafikiri mpo ndani ya bakery
 
Back
Top Bottom