Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Ndio sababu Tanzania inaongoza katika " Economic inclusiveness ", hapo kwenu ni wageni tu na matajiri ndio wanaruhusiwa Kuwepo CBD, rejea kitabu cha " This time tomorrow ".
 
NDINDA.....buda githurai is high density residential estate meant for the low middle class.....ofcourse in such an estate there is petty crime,even new york which is the world financial centre has lots of crime in places like harlem,queens and brooklyns,so those crimes news are irrelevant,by the way few isolated pics of githu which are not pitureseque cannot dispute the fact githu is a decent estate and a concrete jungle like kariakoo.
 
Ninadhani ndugu zangu nyinyi mna obssession bigger than yours syndrome.
 
Huu ujinga mnatoleaga wapi? kwamba Nairobi ina uchumi wa Tanzania nzima?

Dar es Salaam is home of more than 10 millionaire or billionaire recognized by Forbes magazine, huko Nairobi wako wangapi? super rich??? huu ujinga mnatoleaga wapi??
 
Hujui unachoongea, tumia hata Google map itakusaidia, Atleast utaona muonekano wa k/koo ulivyo...
 
Ninadhani ndugu zangu nyinyi mna obssession bigger than yours syndrome.
Si lakini ni ukweli, ama unapinga hilo? Nyinyi ndo mmeanzisha mada ya "bigger than ours", I'am just responding in kind 😎
 
Hujafika kariakoo inaonekana.
The whole Kariakoo is busy the whole of it.
 
pesa ni namba tu buda,nikikwambia tunazembea katika ukusanyaji wa mapato na kuweka rekodi sawa za kihasibu namaanisha.

jaribu kufika hapo hata siku moja utagundua kuna sehemu tunazembea katika kukusanya mapato.kariakoo serikali inaibiwa si kawaida.
GDP ni kando na ukusanyaji wa kodi, GDP ni hesabu za ukijumlisha mapato ya viwanda, kampuni na biashara ambazo ziko official ...... Sasa mtu akisema kwamba eneo flani hapo dar ndo busiest in EA wakati Dar yote haifikii Nairobi kwa mapato ya Biashara, hio itakuaje???

Na hata kama utasema kwamba biashara nyingi si official kwahivyo mapato yake hayajulikani na serekali... sasa itakuaje mnajua kwamba hilo eneo ndo bussiest in EA wakati hata nyiyi wenyewe hamjna takwimu yoyote za kudhihirisha????

Manake kutembelea eneo na kuliangalia tu hakutadhihirisha chochote, unaeza enda mahali ukaona watu 1,000 wananunua na kuuziana bidhaa, mwisho wa siku ukijumlisha faida ya hao wanabiashara wote ukakuta wametengeneza $50,000 ukafikiria eneo hiloliko na pesa, kumbe kuna wakili mmoja eneo lengine ameketi kwa ofisi anapiga dili moja ya $5million ... Itabidi hao wanabiashara wafanye kazi kwa siku 100 ndo watengeneze hio $5 million.
 
Jamani kuna Nakasero Uganda... Hapo mahali ni habari nyingine
 
Ona ukichaa mwingine huuu.i!!!!!
Watu wanazungumzia kuhusu business centres ww waleta habari za infrastructure.
Inaelekea ninyi ndio wale school notes za physics mwaandikia ktk daftar ya maths
 
Si lakini ni ukweli, ama unapinga hilo? Nyinyi ndo mmeanzisha mada ya "bigger than ours", I'am just responding in kind 😎
Ukweli unabaki kuwa Tanzania inazungukwa na nchi [ukiondoa Kenya] karibu 7. halafu ongeza Zim.
Nchi zote hizi mahitaji yao hasa ya nguo, viatu nk wanapata Dar na sehemu pekee ambapo wengi wao hufika kariakoo. Kushamiri kwa biashara eneo limefanya hata upangaji wa frem za biashara kuanzia milioni moja kwa mwezi. Ndiyo maana wingi wa wateja ambao hutembelea eneo hili hufanya hata kupishana iwe taabu.
Nyinyi ndugu zetu sana sana mtawauzia waganda na pengine wanyarwanda.
 
Punctuate your litter. Pthooooo..! Na hujajua kuandika ..ulefu..ndio nini?
 
Kama CBD imekua kariakoo basi posta na upanga nini .

Maana hata tukiwa dar hata daladala zinatofautiana Maeneo Kwa sababu ya umbali uliopo.


Hiv ulishafika dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…