Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Karioakoo ni kila kitu. Ni residential, ni market ni cbd, yani hakueleweki! Kule sio nadra kupata wanawake waluofunga leso wakipiga gumzo kando ya barabara kwenye mikeka wakingoja waume zao watoke kazi mida za jioni. Planning ya Dar ni ya kutia huruma. Just 500 meters from TPA utakuta nyumba za makazi hapo karioakoo. Kuna picha fulani niliona kwenye huu uzi ya wanawake ambao wamebeba mitungi za maji vichwani hapo mbele ya TPA
Ndio sababu Tanzania inaongoza katika " Economic inclusiveness ", hapo kwenu ni wageni tu na matajiri ndio wanaruhusiwa Kuwepo CBD, rejea kitabu cha " This time tomorrow ".
 
NDINDA.....buda githurai is high density residential estate meant for the low middle class.....ofcourse in such an estate there is petty crime,even new york which is the world financial centre has lots of crime in places like harlem,queens and brooklyns,so those crimes news are irrelevant,by the way few isolated pics of githu which are not pitureseque cannot dispute the fact githu is a decent estate and a concrete jungle like kariakoo.
 
Ukisema Bussiest unamaanisha nini? Unamaanisha iko na watu wengi wanafanya biashara au inatengeneza hela nyingi kuliko sehemu yoyote EA? Manake GDP ya Nairobi ni $58B na GDP ya Dar ni $26B.... Common logic itaonyesha haiwezekani eti bussiest business center ikawa iko Dar!
Ninadhani ndugu zangu nyinyi mna obssession bigger than yours syndrome.
 
Huu ujinga mnatoleaga wapi? kwamba Nairobi ina uchumi wa Tanzania nzima?

Dar es Salaam is home of more than 10 millionaire or billionaire recognized by Forbes magazine, huko Nairobi wako wangapi? super rich??? huu ujinga mnatoleaga wapi??
 
NDINDA.....buda githurai is high density residential estate meant for the low middle class.....ofcourse in such an estate there is petty crime,even new york which is the world financial centre has lots of crime in places like harlem,queens and brooklyns,so those crimes news are irrelevant,by the way few isolated pics of githu which are not pitureseque cannot dispute the fact githu is a decent estate and a concrete jungle like kariakoo.
Hujui unachoongea, tumia hata Google map itakusaidia, Atleast utaona muonekano wa k/koo ulivyo...
 
Ninadhani ndugu zangu nyinyi mna obssession bigger than yours syndrome.
Si lakini ni ukweli, ama unapinga hilo? Nyinyi ndo mmeanzisha mada ya "bigger than ours", I'am just responding in kind 😎
 
Hii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.
Hujafika kariakoo inaonekana.
The whole Kariakoo is busy the whole of it.
 
pesa ni namba tu buda,nikikwambia tunazembea katika ukusanyaji wa mapato na kuweka rekodi sawa za kihasibu namaanisha.

jaribu kufika hapo hata siku moja utagundua kuna sehemu tunazembea katika kukusanya mapato.kariakoo serikali inaibiwa si kawaida.
GDP ni kando na ukusanyaji wa kodi, GDP ni hesabu za ukijumlisha mapato ya viwanda, kampuni na biashara ambazo ziko official ...... Sasa mtu akisema kwamba eneo flani hapo dar ndo busiest in EA wakati Dar yote haifikii Nairobi kwa mapato ya Biashara, hio itakuaje???

Na hata kama utasema kwamba biashara nyingi si official kwahivyo mapato yake hayajulikani na serekali... sasa itakuaje mnajua kwamba hilo eneo ndo bussiest in EA wakati hata nyiyi wenyewe hamjna takwimu yoyote za kudhihirisha????

Manake kutembelea eneo na kuliangalia tu hakutadhihirisha chochote, unaeza enda mahali ukaona watu 1,000 wananunua na kuuziana bidhaa, mwisho wa siku ukijumlisha faida ya hao wanabiashara wote ukakuta wametengeneza $50,000 ukafikiria eneo hiloliko na pesa, kumbe kuna wakili mmoja eneo lengine ameketi kwa ofisi anapiga dili moja ya $5million ... Itabidi hao wanabiashara wafanye kazi kwa siku 100 ndo watengeneze hio $5 million.
 
Jamani kuna Nakasero Uganda... Hapo mahali ni habari nyingine
Top_Gear_Uganda_Tr_2498818c.jpeg
2012_4largeimg212_Apr_2012_153026163-703x422.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1184827View attachment 1184828
Ona ukichaa mwingine huuu.i!!!!!
Watu wanazungumzia kuhusu business centres ww waleta habari za infrastructure.
Inaelekea ninyi ndio wale school notes za physics mwaandikia ktk daftar ya maths
 
Si lakini ni ukweli, ama unapinga hilo? Nyinyi ndo mmeanzisha mada ya "bigger than ours", I'am just responding in kind 😎
Ukweli unabaki kuwa Tanzania inazungukwa na nchi [ukiondoa Kenya] karibu 7. halafu ongeza Zim.
Nchi zote hizi mahitaji yao hasa ya nguo, viatu nk wanapata Dar na sehemu pekee ambapo wengi wao hufika kariakoo. Kushamiri kwa biashara eneo limefanya hata upangaji wa frem za biashara kuanzia milioni moja kwa mwezi. Ndiyo maana wingi wa wateja ambao hutembelea eneo hili hufanya hata kupishana iwe taabu.
Nyinyi ndugu zetu sana sana mtawauzia waganda na pengine wanyarwanda.
 
Swali LA kijinga road zinajengwa kutokana na maitaji tunazo barabara nyingi tu tatizo nimegundua wakenya masikini sana hivyo video tunazo post mnashingwa kuziangalia kwa sababu ya kukosa Pesa ya internet nilifanya utafiti kupost video za YouTube hapa nione kama view wataongwzeka kutoka kwa wakenya nikagundua view wanaongezeka wachache awazidi 10 hivi ni kwanini wakenya mnashindwa kumudu mb za kuangalia video sasa nakupostia hizi video utizame na wewe ulete video za ukweli zisizo editiwa hii ni ya msiba ulitokea tz icheki kisha na nyinyi mlete video yenye ulefu kama huo ya tukio la kweli ili tuone jiji la Nairobi na barabara zake.

Punctuate your litter. Pthooooo..! Na hujajua kuandika ..ulefu..ndio nini?
 
Karioakoo ni kila kitu. Ni residential, ni market ni cbd, yani hakueleweki! Kule sio nadra kupata wanawake waluofunga leso wakipiga gumzo kando ya barabara kwenye mikeka wakingoja waume zao watoke kazi mida za jioni. Planning ya Dar ni ya kutia huruma. Just 500 meters from TPA utakuta nyumba za makazi hapo karioakoo. Kuna picha fulani niliona kwenye huu uzi ya wanawake ambao wamebeba mitungi za maji vichwani hapo mbele ya TPA
Kama CBD imekua kariakoo basi posta na upanga nini .

Maana hata tukiwa dar hata daladala zinatofautiana Maeneo Kwa sababu ya umbali uliopo.

Hiv ulishafika dar?
 
Back
Top Bottom