Karibu baby sis

Yes kwa kuamua uko sawa kabisa Mama yangu mpendwa...

Natamani sana uamue kumjua na kufuasa Mungu ninae muamini na kumtumikia awe bwana na mokozi katika kuishi kwako humu duniani na awe tarajio la furaha yako mbinguni
Ninaemjua ni mwokozi wangu ni Kristo Yesu,huyo "mokozi" unayetaka wewe ni mjue sidhani kama ninataka kumjua ....πŸ€”
 
Eti Bora umenisaidia....ninamaanisha shoga yangu😁
 
Yaani Bora umemfunda,maana majibu yake anayajuaga mwenyewe Mtu akimchokoza anampa hapo hapo bila kumung'unya maneno...mi niliona dalili za kumtukana Mtu naachana nae chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…