Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine.
Nimekaa nyumbani kwake Humburg.
Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi.
Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha maisha yake.
Abdilatif Latif katika hili atanichukua safari ndefu.
Katika uzinduzi wa kitabu chake tafsiri ya "Sauti ya Dhiki," ikawa kama vile maneno aliyosema kujibu swali katika wakati wa maswali na majibu kuwa Field Marshal John Okello alimkaribisha Jela ya Kamiti kwa maneno haya, "Karibu, karibu ndugu jela ni ya wanaume," maneno haya yalimponyoka.
Maneno haya hayapo popote katika historia ya Abdilatif.
Wengi tuliokuwa katika hadhira hii tulishtushwa na maneno yale.
Tulipenda sana kusikia zaidi katika historia ile.
Msikilize mwenyewe.
View: https://youtu.be/DoJbywrdFIc?si=1WyJxxoV-h7sYr3e