Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Nivea, kumbe Mwita Maranya ni kaka yako? mi mwenzako nina hamu ya kukupa mimba, sema wee hujui tu.
Naomba unikubalie ombi langu.
MWISHO WA KUTONGOZA

Hahahaha Bujibuji kumbe umedata? mimi nilidhani trip ya malawi imekuponya!! Ndio maana ulikimbiwa na nanihino kama huu ndio ujanja wako wa kutongoza.:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:

Dadangu Nivea huyo Bujibuji asikusumbue kichwa kwakuwa yeye ni fungu la kukosa.
Kwa akili yake mbaya baada ya kuambulia za uso kutoka kwa wifi yako mwaJ sasa ameamua kutupa jarife kwako anadhani we maharage ya mbeya.Hahahaha mwaka umeanza vibaya sana huu kwake na bado ataendelea kula za uso kila anapogusa...
 
Last edited by a moderator:

loh thanks kwa mwaliko lakini hujatutendea haki tunaokunywa vinywaji laini visivyotoa jasho, Paloma where is juice?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kutakuwa na sanglia pia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…