Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Hahahaha Bujibuji kumbe umedata? mimi nilidhani trip ya malawi imekuponya!! Ndio maana ulikimbiwa na nanihino kama huu ndio ujanja wako wa kutongoza.:smile-big::smile-big::smile-big:
Mwita Maranya naona umeniendea Bagamoyo kunichafulia nyota yangu. Nivea ntakuandikia barua mama wala usijali.
 
Last edited by a moderator:
Paloma naomba vigezo na masharti ya kwenda kwa mjeda.

Afu nihakikishie uwepo wako wewe, wewe uwe nami tu, nami niwe nawe tu, tuwe kitu hiki . . . . 1 basi. Wenye wivu wajizibue vibao.
 
Eti,kuna msamaria anayeweza kusema hii makitu ilikuwa lini hadi nikapitwa? Happu birthday.mjeda. uzuri hata Asprin naye chali hakijaharibika kitu.
Paloma hebu nipm
 
Last edited by a moderator:
I wont come without amu!!Please mantion it!:yo:
 
Mwe..! mi hizo mapombe tu, umefanya la maana kutu brief kwa taarifa ya infomesheni mapema..., kila nikiangalia hizo lips hapo juu natamani ku foward siku zifike haraka...
 
Jamani mbona sisi walokole vinywaji vyetu sivioni?
'
Halafu Paloma usitie shaka kile kibibi nakiacha nije tule bata,nitamuomba Mtambuzi lifti nije fasta!
 
Last edited by a moderator:
Paloma na mimi ni mdau bana,
tutafutane dada, Vin Diesel katoka wapi tena jamani,
dah hivi bado unakumbuka ya kale.

sema neno moja tu..............nakutumia choper unatua hapo hapo eneo la tukio......
huyo mumengwa sijui kafungiwa wapi mie sin ahata habari zake......ya kale yameshakauka wala sijui hata yananukaje! kwanza yameshapeperushwa!
 
Jamani mbona sisi walokole vinywaji vyetu sivioni?
'
Halafu Paloma usitie shaka kile kibibi nakiacha nije tule bata,nitamuomba Mtambuzi lifti nije fasta!

umeokoka lini? hirizi aliyokuvika Kaunga umeivua? na zile chale? mhhhhhh
Hayajamani please njoo nisaidie na huyu mlokole wa kisukuma!
 
Last edited by a moderator:
Paloma naomba vigezo na masharti ya kwenda kwa mjeda.

Afu nihakikishie uwepo wako wewe, wewe uwe nami tu, nami niwe nawe tu, tuwe kitu hiki . . . . 1 basi. Wenye wivu wajizibue vibao.

vigezo ni wewe na wallet yako tu! na full appetite!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…