Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!


Hubby Mwita Maranya kumbe Nivea ni dadako kwanini mpaka leo hujanitambulisha kwa nduguzo wote? au huyu ndio yule dada aliyekuwa Marekani anaishi jirani na akina Natalia? Wifi Nivea nimefurahi kukufahamu.
 
Last edited by a moderator:
mbebs wa ukweeli lazima niwepo
Paloma nipitie na mkoko wako si wajua hali ya sasa hivi
 
Last edited by a moderator:

aaaa wapi hapa umechemka mi na tanzanite zangu mpaka saa 7 usiku sikuvuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…