R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
- Thread starter
- #21
Huko Bukoba, Mbeya, n.k. mtu anajenga peke yake nyumba kali kijiji kizima🤣🤣, hadi kuipata nyumba nyingine ya kisasa ni mbali sana,Mkuu....hizo nyumba wanaishi au ni pride tu?
Mkuu kujenga vijijini hadi siku huko singida na shinyanga wanajenga vijijini sana...
Kuna sehemu kama Bukoba au mbeya kule kuna majumba na mahekalu...
Hio sio big deal siku hiz kuwafanya watu wakuroge kisa ujenzi
Vijiji vya moshi nyumba kibao tu kali mitaani na hakuna kuhofia kupigwa kipapai