Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

Karibu TANGA.

Pangani
Handeni
Lushoto

Hatoki mtu.
 
Tuliwahi alikwa na ndugu mmewe mfanyabiashara mzuri tu, nyama choma kwa wingi tena mbuzi sasa nilikaa dinning namaliza kula namkuta Baba mwenye nyumba hali na hajala na tulikuwa wengi ilinipa fikirishi sana kwanini asile chakula na wageni? Kuanzia hapo mtu aniambie mwaka mpya mje tule pamoja siwezi kabisa
Haya mambo yanafikirisha ila Potelea pote
 
Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same.

Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku uchawi si tatizo kama sehemu zingine.

Uchawi una lengo la kuua, kuharibu, kufarakanisha, n.k, uchawi haunaga maendeleo na ukiwa na maendeleo basi ni ya machoni tu ila kuna masharti magumu.

Naomba pia tutofautishe Uchawi na Matambiko ya kimila, hivi ni vitu viwili tofauti, matambiko ya kimila hata waIsrael waliyafanya kwa kuchinja wanyama kuondoa dhambi na hata sasa ujio wa kanisa la tatu walishaelekezwa wakija kupata ngombe wekundu watatu wachinje iwe tambiko.

Sasa tukija kwenye huu uchawi ni kwanini mkoa wa Kilimanjaro upo nyuma sana ? Yani huko hata kupata mganga tu ni ishu, mtu akitaka uchawi labda anunue
Mana wapiga rocket wako upareni yani wapare ...mchaga hana asili ya uganga
 
Back
Top Bottom