myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Madogori yapo Tanga...Nani kakudanganya wachawi wakubwa huko wanatumia uchawi wa mizimu...
Wapare hao...
Wanaamsha maiti kwa ngoma za madogori...
Ni hatari sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogori yapo Tanga...Nani kakudanganya wachawi wakubwa huko wanatumia uchawi wa mizimu...
Wapare hao...
Wanaamsha maiti kwa ngoma za madogori...
Ni hatari sana...
Hamna kitu, ni tetesi tu.Kuna sehemu unaitwa Ugweno Mwanga Kilimanjaro...
Huko ndio Kuna wachawi mno...
Na Mwanga KLM yapo...Madogori yapo Tanga...
They are busy consuming alco..!Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same.
Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku uchawi si tatizo kama sehemu zingine.
Uchawi una lengo la kuua, kuharibu, kufarakanisha, n.k, uchawi haunaga maendeleo na ukiwa na maendeleo basi ni ya machoni tu ila kuna masharti magumu.
Naomba pia tutofautishe Uchawi na Matambiko ya kimila, hivi ni vitu viwili tofauti, matambiko ya kimila hata waIsrael waliyafanya kwa kuchinja wanyama kuondoa dhambi na hata sasa ujio wa kanisa la tatu walishaelekezwa wakija kupata ngombe wekundu watatu wachinje iwe tambiko.
Sasa tukija kwenye huu uchawi ni kwanini mkoa wa Kilimanjaro upo nyuma sana ? Yani huko hata kupata mganga tu ni ishu, mtu akitaka uchawi labda anunue
Kwahiyo wewe unajua kuna mchezo huo, lakini bado unaenda hapo hapo kula yaani nyie watu au tayari ulisharogwa, ndiyo maana wanaume wengi majumbani hamueleweki kumbe vinyama mnavyolishwa huko!Yuko mama mmoja huku Dar wilaya ya Ubungo ana jiko kwenye bar moja maarufu.
Yule mama anaweka nyama moja pembeni, kila mhudumu akitumwa Oda ya supu, mama anaweka supu halafu anachukua ka nyama kiduchu toka Ile nyama iliyopembeni na kutumbukiza kwenye supu.
Hata ukiagiza nyama choma maarufu pande na ugali lazima akuwekee ka pisi upate ladha. Ila juzi niliagiza kongoro tu bila ndizi Wala nini, nilimfuatilia Yule mhudumu na hakika sikuwekewa pisi la Ile nyama
AiseeUchawi na matambiko ya mila ni vitu viwili tofauti.
Waisrael wanaotafuta ngombe watatu wekundu hadi sasa kwajili ya kafara ya kujenga kanisa la tatu kwa maelekezo ya Mungu wao ni wachawi ?
Ni wahamiaji kutoka mkoa jiraniNa Mwanga KLM yapo...
Tuliwahi alikwa na ndugu mmewe mfanyabiashara mzuri tu, nyama choma kwa wingi tena mbuzi sasa nilikaa dinning namaliza kula namkuta Baba mwenye nyumba hali na hajala na tulikuwa wengi ilinipa fikirishi sana kwanini asile chakula na wageni? Kuanzia hapo mtu aniambie mwaka mpya mje tule pamoja siwezi kabisaHii nimeogopa ninavyopenda kualikwa kula nyama choma kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchawi wa kuuwana ni wakishamba kama huamini waulize likud na mshana jrNa hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same.
Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku uchawi si tatizo kama sehemu zingine.
Uchawi una lengo la kuua, kuharibu, kufarakanisha, n.k, uchawi haunaga maendeleo na ukiwa na maendeleo basi ni ya machoni tu ila kuna masharti magumu.
Naomba pia tutofautishe Uchawi na Matambiko ya kimila, hivi ni vitu viwili tofauti, matambiko ya kimila hata waIsrael waliyafanya kwa kuchinja wanyama kuondoa dhambi na hata sasa ujio wa kanisa la tatu walishaelekezwa wakija kupata ngombe wekundu watatu wachinje iwe tambiko.
Sasa tukija kwenye huu uchawi ni kwanini mkoa wa Kilimanjaro upo nyuma sana ? Yani huko hata kupata mganga tu ni ishu, mtu akitaka uchawi labda anunue
Wanakuwa wamenuia maneno fulani...Tuliwahi alikwa na ndugu mmewe mfanyabiashara mzuri tu, nyama choma kwa wingi tena mbuzi sasa nilikaa dinning namaliza kula namkuta Baba mwenye nyumba hali na hajala na tulikuwa wengi ilinipa fikirishi sana kwanini asile chakula na wageni? Kuanzia hapo mtu aniambie mwaka mpya mje tule pamoja siwezi kabisa
Ile ilikuwa sadaka yakuteketezwa na hiyo nilifanyika kabla ya ujio wa YESU KRISTOVipi kuhusu Abrahamu, baba wa imani?
Ndiyo hivyo yaani sahizi nikipewa msosi nikuitia damu ya YESU yawarudie wenyewe![emoji3][emoji3]Wanakuwa wamenuia maneno fulani...
Bora umestuka...
Matambiko ni uchawi mkuu,inahusisha mizimu ya mtu na uchawi hivyo hivyo!Uchawi na matambiko ya mila ni vitu viwili tofauti.
Waisrael wanaotafuta ngombe watatu wekundu hadi sasa kwajili ya kafara ya kujenga kanisa la tatu kwa maelekezo ya Mungu wao ni wachawi ?
Wewe UCHAGANI kuna uchawi balaa asikwambie mtu tena kwa matambiko usipime
Alpkwambia WACHAGA hawatumii uchawi kakuongopea
Wapo tofauti na wengine kwa7bu wao ELIMU ni kipaumbele kwao tangu ENziI ya ukoloni
TATIZO uelewa mdogo!!Sasa hapa huwa mnachanganya habari,
Mwenye kutambika muzimu ni vile mila yake inavyomtuma kufanya mambo ya desturi ili Kwa mfano kufanikiwa kwenye jambo fulani,
Hawamfanyii mtu mwingine ili asifanikiwe au aumwe , au apoteze riziki, akose kuzaa, aharibu ndoa, asijenge nyumba , watoto wakatae Shule n.k.
Mwenye kufanya ibada ya mizimu hahusudu mafanikio ya mtu mwingine,
Haharibii mwingine,
Kama ni dhambi inabaki kwa Mungu wake tu.
Lakini upande wa wachawi huko ni kubaya zaidi.
Jamii Au familia ikiwa na uchawi ni majaribu makubwa sana,
Mchawi kazi yake ni kuharibia wengine mazima , kuzuia mafanikio,
Mchawi hataki mtu ajenge,
Mchawi hataki mtu aoe, hataki ndoa yenye furaha, hataki watu wazae, anataka watu waumwe, wafe, ndoa zivunjike, kazi ziharibike, wanafunzi wafell n.k.
Sasa Angalia jamii hizo mbili uone ipi ina afadhali kubwa?
TATIZO uelewa mdogo!!
Mizimu inayotambikiwa asili yao ni chini ardhini ambapo ndipo makao ya wafu,mapepo na majini KWA maana ya Baharini,makaburi hayo yote ni malango ya KUINGIA KWA wafu HUKO kuzimu!!
Unapochinja KWA mizimu ile dam inamwagikia ardhini kulisha mizimu roho zilizokufa!!
SASA mizimu ya chini,majini na SHETANI huko ndipo anapotawala SHETANI ndio maana tambiko la kuchinja ni uchawi KABISA!!!
NADHANI umenielewa!!