Huko Bukoba, Mbeya, n.k. mtu anajenga peke yake nyumba kali kijiji kizimaπ€£π€£, hadi kuipata nyumba nyingine ya kisasa ni mbali sana,Mkuu....hizo nyumba wanaishi au ni pride tu?
Mkuu kujenga vijijini hadi siku huko singida na shinyanga wanajenga vijijini sana...
Kuna sehemu kama Bukoba au mbeya kule kuna majumba na mahekalu...
Hio sio big deal siku hiz kuwafanya watu wakuroge kisa ujenzi
Mila ni kafara ya kichawi...ile ni mila tuu ya kawaida katika koo nyingi ila sasa kuna wenye hela zao za moto ndio huchinja bila kufwata maswala ya mila utaambia ni ya kula tuu kila siku ni nyama sasa wewe nenda kula nawa mikono yale maji mlionawia mikono hawamwagi hapo ndo utajua hujui.
ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazingua
kwahio waisrael ni wenda wazimu pia?Mila ni kafara ya kichawi...
Unachinja unaongea na watu waliokufa mizimu ili iweje...
Sio kawaida
Kabla ya kula omba MUNGU...Yuko mama mmoja huku Dar wilaya ya Ubungo ana jiko kwenye bar moja maarufu.
Yule mama anaweka nyama moja pembeni, kila mhudumu akitumwa Oda ya supu, mama anaweka supu halafu anachukua ka nyama kiduchu toka Ile nyama iliyopembeni na kutumbukiza kwenye supu.
Hata ukiagiza nyama choma maarufu pande na ugali lazima akuwekee ka pisi upate ladha. Ila juzi niliagiza kongoro tu bila ndizi Wala nini, nilimfuatilia Yule mhudumu na hakika sikuwekewa pisi la Ile nyama
Waisrael wanachinja kwa Mungu...kwahio waisrael ni wenda wazimu pia?
we mungu wao unamjua wao ndo walituhadithia sisi tulichelewa kuwahadithia yakwetu. ulishawaza wanaweza wakawa wanafanya kinyume na mungu?Waisrael wanachinja kwa Mungu...
Wachaga wanachinja kwa miungu...
Ninamjua...we mungu wao unamjua wao ndo walituhadithia sisi tulichelewa kuwahadithia yakwetu. ulishawaza wanaweza wakawa wanafanya kinyume na mungu?
Mzimu wa koleloWewe UCHAGANI kuna uchawi balaa asikwambie mtu tena kwa matambiko usipime
Alpkwambia WACHAGA hawatumii uchawi kakuongopea
Wapo tofauti na wengine kwa7bu wao ELIMU ni kipaumbele kwao tangu ENziI ya ukoloni
same time maisha ndio yanaamua sababu za mishemishe hupendi ila kwenye riziki unakutana na mpare huku muha kule mkinga ukirudi huku jamaa wa handeni afu gafla mambo hayaendi huku na huku unajikuta kumbe wanakuchora anyway tuyaache.Tatizo la wachaga ni unafiki. Kanisani wapo active kinyama ila nyuma ya pazia ni DANGER. Siku moja niko geto kwa jamaa yangu Arusha akaniambia leo inabidi usepe mapema kwa sababu kuna mganga flani anakuja kutoka sehemu flani kuonana na mteja ambaye ni jimama moja la kichaga lenye hela zake na mfuasi makini wa kanisa katoliki la mitume..... bahati mbaya wakati natoka yule mama nae ndo anafika nikapishana nae mlangoni. Nikiwa njiani nikapishana na yule mganga nae anaenda hapo. Baadae yule jamaa yangu akaniambia ilibidi wahamie hotel flani katikati ya mji kufanya shughuli yao ya kiganga kwasababu mimi kuonekana pale ilichafua hali ya hewa. Huo ni mfano mmoja tu ila wachaga nao hawako nyuma kwenye hayo mambo.
Sorry uliwahi kufika huko?Huko Bukoba, Mbeya, n.k. mtu anajenga peke yake nyumba kali kijiji kizima[emoji1787][emoji1787], hadi kuipata nyumba nyingine ya kisasa ni mbali sana,
Vijiji vya moshi nyumba kibao tu kali mitaani na hakuna kuhofia kupigwa kipapai
Mbona nyumba chache sana hivyo, πππSorry uliwahi kufika huko?
Tembea kidogo uone sio kila siku Dar moshi..
Hapa ni muleba Bukoba vijijini ...vijiji vya wahaya huko...
View attachment 2690233
Acha upumbavu..huo.hicho ni kijiji na kule nyuma kuna ziwa...Mbona nyumba chache sana hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee unaposema ddm wanatumia uchawi wa fisi Ni Kweli IPO maeneo gani ,mm Niko ihumwa mmsema aina ya uchawi ukienda Dodoma kuna uchawi wa fisi watu wanatumia fisi na ukija pwani ni uchawi wa mapaka ,zogo .
Kilimanjaro ni watumiaji wa uchawi wa makafara yakiwa ni kumwaga damu na kutoa watoto akili yaani kuwafnya mazezeta.
Kigoma ndo hatari kabisa unaweza kupigwa na radi kweny jua la Saa 7 .
Nimelisikiaga Hilo chimbo Kuna demu wangu ex wangu alipata kunieleza Hilo Jambo alpelekwa na bwna ake kwenda kutoa kafara mtot ili wapate pesa dunia hi inamaajabu mnoNakuelekeza chimbo la waganga wa Wachaga. Ukifika stendi panda magari ya TPC. Ukishuka TPC chukua boda mwambie akupeleke kwa mtaalam barabara ya kuelekea Simanjiro ukivuka daraja tu kata kulia. Yaani hawana aibu wanapiga ndumba mchana kweupe.
Uchawi mkubwa ni wa wazee kuharibiana vijana baada ya kutambiana siku za Xmass. Uchawi mwingine ni kupigana vipapai kwa ugomvi wa mipaka ya mashamba.
Usiniulize nilijuaje hili chimbo.
Karibia Kote haswa vijiji vya wagogo Kwa warangi sijasikiaMzee unaposema ddm wanatumia uchawi wa fisi Ni Kweli IPO maeneo gani ,mm Niko ihumwa mm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app