Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza pigwa na radi jua la saa 7 mchana[emoji119]
 
Hii nimeogopa ninavyopenda kualikwa kula nyama choma kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nimeogopa ninavyopenda kualikwa kula nyama choma kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
maji hawamwagi mtani yanapelekwa kwa msisi ama handeni wakati wanarudi dar hio january mnasema mambo magumu watu wanapiga hela balaa. nyota zenu zimesombwa kwa ho njia
 
Mnama sasa hiv tunazungumzia bandari bana
 
Sehemu inayofanywa matambiko, mshirikina hawezi kuishi. Ndivyo kulivyo uchagani.

Ukizingua wazee wanakuita wanakukanya, anachinjwa mnyama mambo yanaisha. Sasa wewe jifanye nunda uone.kitachokupata.
 
Sisi tunatafuta hela kwa jasho hatuamini hayo makitu.
Na tunazitumia kama hatuna akili ndio furaha yetu.
Wee anagalia wanaotumia huo uchawi maendelea yao kama wanayafaidi zaidi ya majanga na mateso nabhata matumizi hawafurahi jasho lao
 
Naapa naaapa naaapa tena I swear hakuna uchawi uchagani, wachawi na wanga wapo huko kwenu, kilimanjaro ni sehem salama sana hakuna mfano tz yote
 
wachagga ni waisrael,walitokea maeneo ya kaskazini mwa ethiopia walipokimbia vita,na ata kuna koo kama mushi majina yake yapo ndani ya biblia,,,,ata mila za waisrael wa kale ndo hizohizo wanazofanya wachagga,ndo manake unaona wachagga wengi wanapenda sana kumtumikia MUNGU!!
 
Wanatunziana siri wanakulana kimya kimya, nimewasikia wakiambiana kule kwetu nikienda siku nakuondoka hakuna kuaga kwana kukaa pale haizi siku 3, nikamuuliza kumbe nahuko mnageuzana usiku? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna sehemu unaitwa Ugweno Mwanga Kilimanjaro...

Huko ndio Kuna wachawi mno...
 
Wewe UCHAGANI kuna uchawi balaa asikwambie mtu tena kwa matambiko usipime
Alpkwambia WACHAGA hawatumii uchawi kakuongopea
Wapo tofauti na wengine kwa7bu wao ELIMU ni kipaumbele kwao tangu ENziI ya ukoloni
Ni siri ndiyo maana hawapendi kuoa makabila mengine ili wasivujishe siri [emoji3][emoji3] kuna siku nilipita duka moja halafu tunafahamiana nakuta mwenye duka anafanya yake nilipigwa na mshangao mkubwa [emoji30][emoji30], sikuwahi kununua tena, sahizi kafa sijui aliumwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…