Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

Karibu TANGA.

Pangani
Handeni
Lushoto

Hatoki mtu.
 
Haya mambo yanafikirisha ila Potelea pote
 
Mana wapiga rocket wako upareni yani wapare ...mchaga hana asili ya uganga
 
Ni wa mwisho kwa kutokuwa na asili ya uchawi ila "wa kwanza kwa kutumia uchawi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…