Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
ChaiNyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.
Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.
Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.
Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.
Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?
Tawajuza mwisho wa picha.
Binti mzuri kinoma
Trust me.Chai
EheheheKihasibu tunasema,
No true and fair view of financial statements.
Huyo mhasibu ameongopa/amepika data
Ila wanawake hahahahahahNyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.
Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.
Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.
Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.
Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?
Tawajuza mwisho wa picha.
Binti mzuri kinoma
Ni mapito tuNyie kuna watu waongo aisee.

TumaTrust me.
Ni kweli, au nikutumie picha ya mshikaji?
Mimi naamini sio chaiChai
Sasa amwambie wamesimamishwa kwa ajili ya DP World, anawasubiri wahamie huko. Simpo.Nyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.
Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.
Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.
Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.
Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?
Tawajuza mwisho wa picha.
Binti mzuri kinoma
Sasa jamaa hapa kazidi uongoNi mapito tu
Hata wewe yanawezq kukupata!
Nadhani angepiga fix hii angetatua changamoto kibabe.Sasa amwambie wamesimamishwa kwa ajili ya DP World, anawasubiri wahamie huko. Simpo.
Nyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.
Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.
Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.
Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.
Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?
Tawajuza mwisho wa picha.
Binti mzuri kinoma
Kahama ilitokea pia.Mimi naamini sio chai
Kama hujawahi kuona wala kusikia ndio utaita chai.
Kuna wanaume wapumbavu sana na hawajiamini hata kidogo.
Mtu anajimwambafy na vitu ambavyo sio uwezo wake ilimradi tu ampate mwanamke fulani ambae kwa akili yake anafikiri bila kumdanganya hawezi mpata wakati angeishi uhalisia wake angempata tu Mana muda mwingine binti wa watu hana hata shida na mali tatizo wanaume mnakariri sio wanawake wote wa hivyo.
Kuna mpuuzi naye alikosa mke kwasababu hizo hizo za kudanganya.
Mwanamke kuja kustuka kagoma na process zilikuwa zishaanza.
Njia ya mwongo ni fupi.
EheheheUna tabia za watu wa hovyo, kidume kinapambana na mazingira yake wewe unaleta umbea.
Umejuaje yoye hayo? Unataka vunja tu ndoa ya watu, acha tamaa na wake za watu.