Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
Chai
 
Ila wanawake hahahahahah
 
Ni mapito tu
Hata wewe yanawezq kukupata!
 
Mimi naamini sio chai
Kama hujawahi kuona wala kusikia ndio utaita chai.
Kuna wanaume wapumbavu sana na hawajiamini hata kidogo.
Mtu anajimwambafy na vitu ambavyo sio uwezo wake ilimradi tu ampate mwanamke fulani ambae kwa akili yake anafikiri bila kumdanganya hawezi mpata wakati angeishi uhalisia wake angempata tu Mana muda mwingine binti wa watu hana hata shida na mali tatizo wanaume mnakariri sio wanawake wote wa hivyo.
Kuna mpuuzi naye alikosa mke kwasababu hizo hizo za kudanganya.
Mwanamke kuja kustuka kagoma na process zilikuwa zishaanza.
Njia ya mwongo ni fupi.
 
Sasa amwambie wamesimamishwa kwa ajili ya DP World, anawasubiri wahamie huko. Simpo.
 
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma

Una tabia za watu wa hovyo, kidume kinapambana na mazingira yake wewe unaleta umbea.

Umejuaje yoye hayo? Unataka vunja tu ndoa ya watu, acha tamaa na wake za watu.
 
Mimi naamini sio chai
Kama hujawahi kuona wala kusikia ndio utaita chai.
Kuna wanaume wapumbavu sana na hawajiamini hata kidogo.
Mtu anajimwambafy na vitu ambavyo sio uwezo wake ilimradi tu ampate mwanamke fulani ambae kwa akili yake anafikiri bila kumdanganya hawezi mpata wakati angeishi uhalisia wake angempata tu Mana muda mwingine binti wa watu hana hata shida na mali tatizo wanaume mnakariri sio wanawake wote wa hivyo.
Kuna mpuuzi naye alikosa mke kwasababu hizo hizo za kudanganya.
Mwanamke kuja kustuka kagoma na process zilikuwa zishaanza.
Njia ya mwongo ni fupi.
Kahama ilitokea pia.
Jamaa kajimwambafai kuwa ana mashine kadhaa za kusaga na kukoboa, anasindika unga, ana mashine za kukoboa mchele.
Binti kaingia King.
Ndoa ikafungwa kanisani.
Jamaa akahidanya hapendi mambo ya Sherehe ikafungwa kimyakimya jumapili.
Kuja kushtuka jamaa anarudi jioni na mafuta ya mia 3 na dagaa la jero nyanya za mia mbili.
Ndoa ikavunjika
 
Back
Top Bottom