Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #181
Bi dada Free Thinker,kazi umeshaipata kwa maelezo zaidi ni jinsi gani ya kuwahendo vizuri wateja ongea vizuri na farkhina ukupe mautundu au kama na wewe una eksipiarensi ya hii kazi unaweza ukamuongezea nayo.Ha ha ha!
Washawasha naomba niajiri kwa ajili ya kusuka..
Hahahaha pole basi unyoee
Nimeshamtaka radhi na tumempa ofa ya mwezi mzima bi dada DEMBA atapata huduma zetu bure.hahaaaaaaaaaa Washawasha mtake radhi shoga angu fastaaaaaa
Usihofu kaka muda wako ukifika tutakuita.Mimi nipo upande wa vyumba vya kupumzika wateja wakisubiri kuwekewa steamer!Saloon ya kike!:A S 39:here waiting!!
Tunachaji Tsh 4100/= lakini inategemea ukubwa wa kichwa chako,kichwa kikiwa kikubwa bei inazidi na kikiwa kidogo bei inapungua.shosti yaani nimecheka hadi machozi. etii mie dume la mbegu. na mume wangu Kaizer atakuwa nani? btw naomba uniulizie kwa Washawasha kusuka sangita bei gani?
Tsh 2000/= bei inapanda na kushuka kutegemea na ukubwa wa kichwa chako.kunyoa denge bei gani?
Na wateja wa sampuli yako ndio wengi mno hapa saluni kwetu yaani hadi raha siku zote narudi nyumbani nikiwa mwepesiiiii.Wengine tunanyoa huku tukiwa watupu.
Jamani naomba mnisamehe nisipokwenda kazini nitakufa njaa bure mjini hapa.na mie nikastuka ujue............atapewa mkong'oto hadi saloon ashindwe kwenda kuhudumia wateja wake
Ni kweli ujue wakati naingalia picha ya my wife wako nilikuwa nimefumba jicho moja baada ya kukatwa kibao na mteja mmoja niliyemuharibu style aliyokuwa akiitaka,basi nikajikuta naandika sivyo ndivyo,niwie radhi mkuu.hahaha mzee wa nalog off naona hajasoma mchezo bado....asante kwa kunijuza Free Thinker.... @Washawasha, FYI DEMBA ni kichuna wangu wa ukwee.....mbabes wangu nampenda sana
ngoja nifanye makerebosho kidogo.samahanini kwa yaliyotokea.halafu Washawasha hao "warembo" ulio wataja: watu8 na Mphamvu ni wanaume bhana!
Ila Kongosho ungefanya kumweka kwene special kesi!
Mi mkaka bhana,c unajua farkhina ataboreka peke yake,lol,Bi dada Free Thinker
Oh,asante bosskazi umeshaipata
kwa maelezo zaidi ni jinsi gani ya kuwahendo vizuri wateja ongea vizuri na farkhina ukupe mautundu au kama na wewe una eksipiarensi ya hii kazi unaweza ukamuongezea nayo.
Nalog off
mecheka sana wallahNi kweli ujue wakati naingalia picha ya my wife wako nilikuwa nimefumba jicho moja baada ya kukatwa kibao na mteja mmoja niliyemuharibu style aliyokuwa akiitaka,basi nikajikuta naandika sivyo ndivyo,niwie radhi mkuu.
Nalog off
mecheka sana wallah
yaani mteja anaruhusiwa kukkata kibao ukiharibu style? alikuwa Free Thinker nini?
Basi mlete huyo paka wako tuwe tunamnyoa,bei ni maelewano ukitaka zaidi ya hapo tunakuchaji pia.huwaga sinyoi kwenye saloon za kilala hoi
bei yake utafikiri nampa paka wangu aende nunua pipi?
Karibu sana bi dada tutakupokea kwa matarumbeta weekend hii.Weekend hii nitakuja kusuka mabutu.