Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

Hatimaye sultan na washindia mashati ya ccm wame ondoka
IMG-20241206-WA0083(1).jpg
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Yaan Una Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Pambalu , Akina Lwaitama na Wazee wenzake.

CHADEMA ipotee??.

Ninakupa Onyo wewe na Dola, LISSU KUA KWAKE MWENYEKITI KUMEBADILI PROFILE YAKE, SASA KIMATAIFA ANAJULIKANA.

Msije kujichanganya , narudia msije kujichanganya.

Kwa bahati mbaya sana, LISSU anawajua udhaifu wenu ulipo, Njia za mwerevu na Mwenye Haki, Huwa hazitegeshwi Miiba.
 
Chadema inakwenda kuwasha Moto tulia dawa ikuingie,hiyo ndiyo Chadema buana.
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Karibu Lisu Nawiri Chadema.Nawasalimu wote waliokuja Chadema kwa mkopo ili kuwapigia kampeni wagombea wao kutoka chama jirani
 
Yaan Una Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Pambalu , Akina Lwaitama na Wazee wenzake.

CHADEMA ipotee??.

Ninakupa Onyo wewe na Dola, LISSU KUA KWAKE MWENYEKITI KUMEBADILI PROFILE YAKE, SASA KIMATAIFA ANAJULIKANA.

Msije kujichanganya , narudia msije kujichanganya.

Kwa bahati mbaya sana, LISSU anawajua udhaifu wenu ulipo, Njia za mwerevu na Mwenye Haki, Huwa hazitegeshwi Miiba.
Msigwa amerudi CHADEMA?
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Wewe ndiye tukupe kwa heri. Ulilopanga halijawa na halitakuwa.
 
Back
Top Bottom