Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Punguza ramli, matarajio. Tatizo mlisha mchagua wa kwenu kabla hata watu hawajapiga kura
Pole brother
 
1737089115728.jpg
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Huu mwaka ni wenu kaa kwa kutulia ila kule kwenu ilitakiwa mfanye kama walivyofanya huku kwa majirani zenu
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Nami nishawapa pole kitambo. Tunaojua siasa tulipenda Mbowe abaki ili kuwepo na chama chenye nguvu. Sasa hivi kutakuwepo na chama cha siasa kama CHAUMA, TLP, APPT - MAENDELEO, nk.

Kujenga chama ni zaidi ya kuwa Mwenyekiti. Time Will Tell!!
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Bila kutaja sababu za kusambaratika walau mbili au tatu ……… soon kwa hizi umbea tutakuita HADIJA KOPA
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Chadema alishaiua mbowe mwenyewe sasa Lissu ana kazi kuifufua
 
Hueleweki wewe sijui umeandika hapa ukiwa umelewa.

Jana umekuja na vihabari uchwara hapa kuwa Lissu hafai na akatwe jina lake asishiriki uchaguzi leo unakuja na habari za kusambaratika chama tena.

Jisambaratishe hicho kichwa chako kilichojaa ujinga huenda utapata akili na bongo mpya.
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
Huna ujualo ,kasubirie limkutano lenu la "wanao afiki waseme ndiyoo" na wasio afiki waseme sio"
 
Ajirekebishe aache mihemuko

Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
We ni Wenje najua mwandiko wako na akil zako ,, Rudi kwenu kawaambie umeshndwa kazi uliotumwa
 
Kama ana nia njema basi tumuunge mkono
Kwa mfano je, ni dhambi gani kutaka tuwe na Katiba mpya? Je, ni kosa gani kutaka kuwepo Tume huru ya uchaguzi?
Uchaguzi ukiwa wa upendeleo tutazalisha watumishi wenye kuenzi upendeleo,ubadhilifu,ufisadi na unyanyasaji.
Je, tunatokaje hapa? Ni muhimu haki iweze kulindwa.
Kwani kwa sasa hali ikoje? Je, kwenu wenzangu kuna hali gani? Kama hali ni mbaya basi utafutwe muharobaini iwe nje ya Chama tawala au nje ili mwisho wa siku Amani,Haki na ustawi wa wananchi utamalaki.
 
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.

Kwaheri CHADEMA.
...haahaa utasambaratika wewe, pole chadema inaenda kuwa imara zaid...
 
Back
Top Bottom