Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Ludo naona amerudi kazini, toka sakata la Rwakatare alikaa kimya sana, sijui alijificha wapi!Kwanini kitasambaratika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ludo naona amerudi kazini, toka sakata la Rwakatare alikaa kimya sana, sijui alijificha wapi!Kwanini kitasambaratika?
Pole sana.Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Kawajense, kirando, kantalamba, Milanzi, Chipu.?Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Kwaheri CCM.Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Atawaburuza Hadi akili ziwakae sawa,tuko paleeChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Huna akili wewe labda wewe ndio mkeo akusambaratishe na uwezo wako mdogo wa maono.Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Huyu Ni CHADEMA ?Ludo naona amerudi kazini, toka sakata la Rwakatare alikaa kimya sana, sijui alijificha wapi!
Huna hoja,weka hapa hizo sababu tukupingeRelax tuuu naona matarajio yamekudhurumu
Huyu usingemjibu. Ni mwendo wa kushuhudia kwa macho yake namna chadema itakavyotambaYaan Una Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Pambalu , Akina Lwaitama na Wazee wenzake.
CHADEMA ipotee??.
Ninakupa Onyo wewe na Dola, LISSU KUA KWAKE MWENYEKITI KUMEBADILI PROFILE YAKE, SASA KIMATAIFA ANAJULIKANA.
Msije kujichanganya , narudia msije kujichanganya.
Kwa bahati mbaya sana, LISSU anawajua udhaifu wenu ulipo, Njia za mwerevu na Mwenye Haki, Huwa hazitegeshwi Miiba.
Ujinga nao ni kipaji! Tumia akili acha kupiga ramli!Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Bwana penis-we kwa heri babaHatimaye sultan na washindia mashati ya ccm wame ondoka
View attachment 3209981