Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Mkuu MSIGWA anafanya nini kwenye hiyo list yako?Yaan Una Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Pambalu , Akina Lwaitama na Wazee wenzake.
CHADEMA ipotee??.
Ninakupa Onyo wewe na Dola, LISSU KUA KWAKE MWENYEKITI KUMEBADILI PROFILE YAKE, SASA KIMATAIFA ANAJULIKANA.
Msije kujichanganya , narudia msije kujichanganya.
Kwa bahati mbaya sana, LISSU anawajua udhaifu wenu ulipo, Njia za mwerevu na Mwenye Haki, Huwa hazitegeshwi Miiba.