Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

Mkuu MSIGWA anafanya nini kwenye hiyo list yako?
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Unachoshindwa kujua ni kuwa .CHADEMA ipo mioyoni mwa watu,kusambaratika kwake ni labda kuuwa miyo ya watu mkuu..
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Pole mkuu, taratibu utazoea.
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Umeandika ukweli mtupu Lisu asipojirekebisha atakiua chama
 
Ajirekebishe aache mihemuko
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Tuondolee utaahira wako hapa. Shwaini wa kijani wewe
 
kimataifa, ile package ya mabalozi iliyohudhuria si ya kubeza
 
Hoja yake huyo Mzee ni kua, Lisssu MTU wa misimamo ataipelekesha Dola, hivo Dola itarespond Kwa kujaribu kuivunjavunja vipande .

Na Hilo ndo litakua kosa la Dola.
Asichojua huyo nguruwe wa kijani ni kuwa ndani ya dola kuna watu wanaichukia CCM hii kuliko hata sisi tunavyoichukia kwani wao wanayajua maovu mengi ya utawala huu kuliko tunayoyajua.
 
Halafu wewe ni mtu mzima ujue, andika vitu vyenye maana. Acha kuhemka. Chadema haifi leo wala kesho. Ni kama ndiyo imezaliwa upya. Mtasubiri sana na TAL ndiyo kakifufua rasmi. Mjishikilie...
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Ukisikia uchawi ndio huu.
 
Chungu tamu....furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwa heri Chadema
Utapiga mno ramli lakini cdm ipo sana tu
 
Utakufa wewe utaiacha cdm ikiwatumikia watz kwa uzalendo mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…