Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Punguza ramli, matarajio. Tatizo mlisha mchagua wa kwenu kabla hata watu hawajapiga kuraChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Huu mwaka ni wenu kaa kwa kutulia ila kule kwenu ilitakiwa mfanye kama walivyofanya huku kwa majirani zenuChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Nami nishawapa pole kitambo. Tunaojua siasa tulipenda Mbowe abaki ili kuwepo na chama chenye nguvu. Sasa hivi kutakuwepo na chama cha siasa kama CHAUMA, TLP, APPT - MAENDELEO, nk.Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Bila kutaja sababu za kusambaratika walau mbili au tatu ……… soon kwa hizi umbea tutakuita HADIJA KOPAChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Chadema alishaiua mbowe mwenyewe sasa Lissu ana kazi kuifufuaChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Huna ujualo ,kasubirie limkutano lenu la "wanao afiki waseme ndiyoo" na wasio afiki waseme sio"Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Ajirekebishe aache mihemuko
We ni Wenje najua mwandiko wako na akil zako ,, Rudi kwenu kawaambie umeshndwa kazi uliotumwaChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
...haahaa utasambaratika wewe, pole chadema inaenda kuwa imara zaid...Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Nliikacha cdm kwa mda sasa narudi rasmiChungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Bado hujasema.Ajirekebishe aache mihemuko