Dasvidaniya
Senior Member
- Sep 17, 2024
- 194
- 671
Yaani asubuhi ya leo niliota farasi flani mwenye ngozi rangi mchanganyiko yaani nyeusi na nyeupe kama n'gombe vile halafu kichwani katikati ana pembe mojaAndika vizuri sijakuelewa
Nilipomuona nikaogopa nikakimbia lakini cha ajabu yule farasi ananiangalia tu wala hanikimbizi, basi nilipoona hivyo ikabidi nipande bajaji na katika safari kila tukikata kona basi nitamuona yule farasi mbele pembeni ya barabara
Hio inamaanisha nini mkuu?