Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

Asante rafiki,. Ngoja niongeze bidii
Amina ubalikiwe sana

Tujifunze kumtii BWANA YESU maisha ya dunia tunapita

Hata kama kuna shida zinakusonga hakuna shida kubwa kuliko MWENYEZI MUNGU

Balikiwa sana
 
Katika
nimeota mbuzi mweusi anazaa watoto nane mpaka nikamsaidia kuzalisha ila nilikuwa na furaha kinoma
Katika ulimwengu wa ROHO mbuzi ni chakula au faida japokuwa hiyo rangi nyeus katika ulimwengu wa ROHO ni Giza au kitu kutoka kwa adui

Huenda utapata faida flani katika maisha yako lakini faida hiyo huenda isitokane na BWANA

Kikubwa endelea kuomba kwa MUNGU MWENYEZI ili maono yasipotee maana maono yote yenye faida usipokaa sawa sawa KIROHO huyeyuka

Kwahiyo kaa chini zitangia neno la MUNGU
 
Niliota naua nyoka mara zote nilipokutana nazo kama mara 3
Balikiwa sana

Katika ulimwengu wa ROHO nyoka ni adui

Kwahiyo maadui zako unawashinda na utawashinda

Japo kuwa kaa sawa sawa na MUNGU ili uendelee kupata msaada zaid
 
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.

Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
Nimeota nipo na wahindi watatu mmoja wa kike wawili wakiume walinipa pesa za nori za kigeni
 
Kuota umefanikiwa kitu baada ya mapambano ya muda mrefu.

Kuna jamaangu amepata kazi ya kusuplt. Anahangaika kupata mtaji.

Kaota mara mbili kapataa pesa na kusuplt kishaanza.

Je ni kweli atapata pesa au vip maana ya hiyo ndoto?
 
Pole sana maisha ya shule ni maisha ya kujifunza na mwanafunzi huwa ana watu wako nyuma yake kama wazazi walezi na waalimu

Kwahiyo basi kwa mujibu wa ndoto hiyo unaambiwa kuwa hata kama kuna changamoto ziko mbele yako zinakuja au kama unapitia saahizi, basi usiogope maana kuna nguvu iko nyuma yako

Kikubwa jitaid tu kuishi maisha ya kumcha MUNGU na punguza kuambatana na dunia ili MWENYEZI MUNGU aweze kukuhudumia ipasavyo kwa jina la YESU
Amen
 
Asante mtumish

Kama nilivyoeleza hapo juu kuwa nyoka ni adui tena adui mkubwa sana

Kwahiyo kuota unakimbizwa na nyoka maana yake ujue unakimbizwa na adui katika maisha ya ROHO yaan umeshindwa kabisa

Tegemea vitu vifuatavyo vitakutokea

Uchumi wako utaporomoka au afya yako itapolomoka au utapata jambo lolote baya

Kwahiyo ukiota ndoto kama hiyo funga then kemea kwa damu ya YESU hakuna adui anaweza shinda damu ya YESU

Mpe pole sana mgonjwa endelea kumuombea
Asante sana, be blessed mkuu[emoji120]
 
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.

Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
M nimeota nimepanda tren SGR bahati mbaya ikafeli breki ikaanza kurud kinyumenyume had steshen nyingine mdo tukashuka
 
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.

Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
 
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.

Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
Niliota juzi nimeua Nyoka wa kijani chumbani kwangu
 
Je, mtu akiota ameokota simu (Smartphone) na kufanya jitihada za kuwasiliana na mwenye simu ili kumkabidhi, wakafanya mawasiliano lakini kabla hawajaonana ikaonesha yeye kwa muda huo yupo mbali hawezi kuja kuichukua na kumwelekeza muokotaji aipeleke mahali ataikuta. Lakini muotaji akahisi anapatiwa usumbufu mwingine, akamjibu “Kama imeshindikana kuja kuichukua basi ninairudisha nilipoiokota”.

Beira Boy tutafsirie hii maana naona mwenye uzi haonekani.
 
Mtumish simu katika maono huonesha utulivu

Kwahiyo huenda utakutana na mtu ambaye atakuchosha au kukupotezea utulivu uliunao

Japo kuwa maisha yako unayujau wewe mwenyewe kama wewe ni mtulivu au korofi
 
Back
Top Bottom