Amina ubalikiwe sanaAsante rafiki,. Ngoja niongeze bidii
Katika ulimwengu wa ROHO mbuzi ni chakula au faida japokuwa hiyo rangi nyeus katika ulimwengu wa ROHO ni Giza au kitu kutoka kwa aduinimeota mbuzi mweusi anazaa watoto nane mpaka nikamsaidia kuzalisha ila nilikuwa na furaha kinoma
Balikiwa sanaNiliota naua nyoka mara zote nilipokutana nazo kama mara 3
Nimeota nipo na wahindi watatu mmoja wa kike wawili wakiume walinipa pesa za nori za kigeniNdoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
AmenPole sana maisha ya shule ni maisha ya kujifunza na mwanafunzi huwa ana watu wako nyuma yake kama wazazi walezi na waalimu
Kwahiyo basi kwa mujibu wa ndoto hiyo unaambiwa kuwa hata kama kuna changamoto ziko mbele yako zinakuja au kama unapitia saahizi, basi usiogope maana kuna nguvu iko nyuma yako
Kikubwa jitaid tu kuishi maisha ya kumcha MUNGU na punguza kuambatana na dunia ili MWENYEZI MUNGU aweze kukuhudumia ipasavyo kwa jina la YESU
Asante sana, be blessed mkuu[emoji120]Asante mtumish
Kama nilivyoeleza hapo juu kuwa nyoka ni adui tena adui mkubwa sana
Kwahiyo kuota unakimbizwa na nyoka maana yake ujue unakimbizwa na adui katika maisha ya ROHO yaan umeshindwa kabisa
Tegemea vitu vifuatavyo vitakutokea
Uchumi wako utaporomoka au afya yako itapolomoka au utapata jambo lolote baya
Kwahiyo ukiota ndoto kama hiyo funga then kemea kwa damu ya YESU hakuna adui anaweza shinda damu ya YESU
Mpe pole sana mgonjwa endelea kumuombea
M nimeota nimepanda tren SGR bahati mbaya ikafeli breki ikaanza kurud kinyumenyume had steshen nyingine mdo tukashukaNdoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
Niliota juzi nimeua Nyoka wa kijani chumbani kwanguNdoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe ya kuota ndoto yako
Jamaa anatumia logic tu hamna cha ajabuItapendeza zaidi ukiweka CV zako hapa maana hatujui uwezo wa katafsiri umeupata wapi..
Ikiwa wewe ni nabii sema...
Ikiwa wewe ni Mwonaji sema...
Jitambulushe mkuu.
Jamaa anatumia logic tu hamna cha ajabu
Mtumish simu katika maono huonesha utulivuJe, mtu akiota ameokota simu (Smartphone) na kufanya jitihada za kuwasiliana na mwenye simu ili kumkabidhi, wakafanya mawasiliano lakini kabla hawajaonana ikaonesha yeye kwa muda huo yupo mbali hawezi kuja kuichukua na kumwelekeza muokotaji aipeleke mahali ataikuta. Lakini muotaji akahisi anapatiwa usumbufu mwingine, akamjibu “Kama imeshindikana kuja kuichukua basi ninairudisha nilipoiokota”.
Beira Boy tutafsirie hii maana naona mwenye uzi haonekani.