Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

Inabidi kuwainua sana viongozi wetu wafanye maamuzi yenye nufaa na amani kwa taifa zima sababu kuna falme na mamlaka katika ulimwengu wa giza huwazonga ila kwa macho ya kawaida utaona ni mtu na mwanadamu.

1timotheo2:1-3 “1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote;
2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu;”
 
Nani mwizi? Ameiba nini?
nchi hii ina watu wapumbavu sana, majambazi yanajipanga kuja kuendeleza mauzo ya nchi wananchi wanashangilia.......

upumbavu mtupu,.... Nchimbi na wana mtandao ni majizi yaliyokubuhu
 
Ushawishi ulitokana na ukwasi aliokuwa nao na usanii wa kitapeli.
Hapana huyu jamaa hana ukwasi wowote. Alitokea uvccm kama sikosei. Ni mmoja wa watu ambao wakiongea wanaaminika sana chamani
 
Timu lowasa huyo tunamkumbuka sana.
Magu alimuondoa nchini kwa vigezo vile vile vya Samia kumuondoa Polepole.
Labda anakuja kuchukua nafasi ya mwandamizi aliyepwaya chamani maana chama kipo hoi bin taabani kwa kuelemewa hoja za wananchi wanaohoji mambo ya msingi.
 
Kwa nguvu yake ya ushawishi chamani Mwendazake aliona akae nae mbali akamtupia Brazil huko🤣🤣🤣

Polepole angeacha ujinga wake na ushamba nae angekuwa very resourceful chamani.
 
Amerudi kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM. Maana aliyepo ni kama uji ulio poa halafu hauna sukari.
Huyu Katibu Mkuu wa sasa anapelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wakati Makongoro akistaafu.
Amepoa ka chuzi la mbwa, huyo na yule mkoa wa mwanza siwaelewi hata siku 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…