Good Luci
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 494
- 641
Inabidi kuwainua sana viongozi wetu wafanye maamuzi yenye nufaa na amani kwa taifa zima sababu kuna falme na mamlaka katika ulimwengu wa giza huwazonga ila kwa macho ya kawaida utaona ni mtu na mwanadamu.
1timotheo2:1-3 “1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote;
2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu;”