Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

Available

40Ft Containers

Grade A
Grade B
Grade C

Lower Grade

Tuwasiliaene : 0625 085 224 normal call and WhatsApp.

NB kuna punguzo Katika kila konteina utakayonunua .

 
Interesting


Mkuu kwa kutambua umuhimu wa tangazo ili kuwafikia wateja wako kwa urahisi , nineona nitengeneze Tangazo ambalo linaweza kukusaidia kufikia audience ya watu kwa urahisi. Kama utakuwa interested nalo karibu nitoe watermark hiyo ya neno "The introvert" Ili tangazo liwe miliki yako rasmi kama hutojali lakini kwa maana mimi ni Graphic designer nayepambania kombe maisha yaende.

Karibu sana na nakutakia utekelezaji mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…