Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
00A38863-3CDB-483B-A13F-81524669BC4B.jpeg
25DFFE95-23CC-4026-A868-04D4D9C363A2.jpeg
 
Kwa hiyo tufanyaje sasa

Ova
Ha haa, hapo Manara anajitahidi kujifanya mtu maarufu ili akidhania labda yule mke wake atarudi, ukimtizama hana furaha kabisa, ila si wanasema Diamond ndio anamla? Ha haa waswahili husema Kikulacho ki nguoni mwako au adui yako sio wa mbali ni mtu wa karibu yako..

Haji ana matatizo ya kujifanya mtu maarufu of which he is not at all.
 
Ingekuwa Chama ndio kahamia Utopolo ningesikitika sana. Sio hilo Domokaya lililomtosa baba yake
Nimechekaaa sanaaa had machoziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Domokayaaaa kwa kupendaa kiki na kujitoa ufahamu, nweiiii maamuzi ni yakee, wala sio shida zangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la Simba wanaacha washabiki wanaoipenda Toka damuni na kulazimisha watu ambao hawana hata background ya mpira wawe washabiki wao kisingizio kuuza brand tabia hiyo ipo hata Kwa waandishi wa habari wanapenda kuwahoji wasanii au wanamuziki wakati mpira wetu unaweza kuendelea bila wao na mtindo huu kauasisi ashura cheupe
 
Ushabiki wa mpira ni feeling,ni kitu ambacho kinachokuja automatic tu unajikuta unaipenda team fulani,unaweza kuacha Mke na ukaoa mwingine ila huwezi kuhama team,

Eti alipo Manara na yeye yupo! Hakuna ushabiki wa mpira wa aina hii.
 
Back
Top Bottom