Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

TANZANIA KUNA UJINGA MWINGI SANA.

1. MWANAUME MZIMA ANASHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA HUO MUDA UNAUTOA WAPI.

2. Diamond akiwa Simba amefanya nini??????

JE huko yanga Atapewa Namba Ngapi???????
Mbona Dirisha la usajili lilifungwa?????
 
Nje ya mada...

Kuna watu wana fedha ya kuchezea kweli, utu uzima wote huo bado mtu anaandaa birthday party...

Ningejaaliwa pesa kama hiyo, ingetumika kutunza wenye uhitaji na yatima...

Kuhusu ongezeko la umri ningemshukuru tu Maulana yatosha...
 
AMAAAAAAAAH...kumbeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!
 
Diamond Platnamz karibu sana Yanga

Once Mwananchi, alwayz Mwananchi
 
Hakuna mshabiki wa kweli anahama, huyu Haji Manara mwenyewe hadi leo mapenzi yake ya dhati yako Simba huko Yanga yupo kazini tu.
 
Nje ya mada...

Kuna watu wana fedha ya kuchezea kweli, utu uzima wote huo bado mtu anaandaa birthday party...

Ningejaaliwa pesa kama hiyo, ingetumika kutunza wenye uhitaji na yatima...

Kuhusu ongezeko la umri ningemshukuru tu Maulana yatosha...
Pesa yote aliyotumia kuandaa hiyo shughuli imerudi na imezidi, hukuona waalikwa walivyokua wanashindana kutunza? Pia amezindua online TV yake.

Mjini hapa ukilala na njaa umependa.
 
Back
Top Bottom