Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

TANZANIA KUNA UJINGA MWINGI SANA.

1. MWANAUME MZIMA ANASHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA HUO MUDA UNAUTOA WAPI.


2. Diamond akiwa Simba amefanya nini??????

JE huko yanga Atapewa Namba Ngapi???????
Mbona Dirisha la usajili lilifungwa?????
Unaumia ukiwa wapi mkuu?
 
Ni sawa na wasanii kuangalia upepo leo ccm
ikiondoka madarakani watajipendekeza chama kitakacho kuwepo
 
Hakuna mshabiki wa kweli anahama, huyu Haji Manara mwenyewe hadi leo mapenzi yake ya dhati yako Simba huko Yanga yupo kazini tu.
Bro mi nilihama kutoka Liverpool kwenda ManU na mapenzi yapo sana tu! Amka! Wajanja wanahamia utopolo hakuna stress Wala pressure! Unbeaten team!

The fall of Simba has many colours! Shika hii! Litakusaidia!

Viongozi wataondoka, makocha wataondoka, wachezaji wataondoka, mashabiki wataondoka , Bado Mo tu!! Mbishi!
 
Huyu mwenyekiti wa Utopolo naye ni kama wala mihogo wenzake. Anapiga naye picha ili iweje?
 
Ndo kahama Sasa na ndo kiki mpya Mjini! Mikia mjinyonge!

The fall of Simba has many colours! BarAbara atafuata Kisha Mo!
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20230119-222243_Gallery.jpg
    Screenshot_20230119-222243_Gallery.jpg
    29.9 KB · Views: 2
Ha haa, hapo Manara anajitahidi kujifanya mtu maarufu ili akidhania labda yule mke wake atarudi, ukimtizama hana furaha kabisa, ila si wanasema Diamond ndio anamla? Ha haa waswahili husema Kikulacho ki nguoni mwako au adui yako sio wa mbali ni mtu wa karibu yako..

Haji ana matatizo ya kujifanya mtu maarufu of which he is not at all.
Kiwango chako cha wivu kimevuka mipaka. Kama Manara sio maarufu inabidi wanazuoni wajadili tena kupata maana mpya ya UMAARUFU.
 
Diamond sio shabiki wa mpira. Unaweza ukahama chama cha siasa lakini sio ushabiki wa mpira hasa Simba na Yanga.
 
Sasa mtu anaendeshwa na manara!!atakuwa na akili kweli?
 
Ufafanuzi maana ya dirisha dogo na dirisha kubwa ya usajili,
 
Back
Top Bottom