Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Mkuu Mimi sijali Kama Ni mawazo yako au ndugu zako. Ila just know sisi Ni team kubwa. Na familia kiujumla[emoji120][emoji120]
Sawa nyie ni familia kubwa lakini kwanini mambo mengine ( hasa jambo zito kama ili likachukua mda kidogo then ndo mkaja kublast mitandaoni?))
 
Huyo mfiwa si yuko kwenye majonzi? si juzi tu hapa kafiwa? Huyo mleta uzi angempa mda kidogo wa relief then akaja na hii sympathy [emoji848]

Sasa mtu kafiwa uzi hakujapoa mara paap uzi mwingine tena wa mfiwa duuh
 
Duuh[emoji119][emoji119][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Sasa kama ni kufariji si angemfariji hata kwa simu?

Au mtandaoni ndo vinanogaa?
 
Mi nashauri wanaoleta Uzi wakitegemea positive comments only waende FB , JF utakula nyundo tuu za negative hlo halipingiki... Kama Yesu mwenyewe alipingwa hadharani sembuse wewe mleta Uzi unayekunya Kwa kulenga
Hahaha...anakunya kwa?

Lazima mtu upokee posi+tive na nega-tive kwenye uzi wako!

Usitarajie shangwe tu, kila mtu na maoni , mtazamo tofauti
 
Kama utoto si unaachana nao,unapita zako tu Mkuu
Si lazima ukazingatia kila uzi.
Tuna perceptions tofauti, wewe utasema hiki, mi ntapinga, usitarajie kupata agreement kila kona...free mind
 
Mleta thd yupo tu kwa shemeji yake juu ya kochi, kutwa kuanzisha thd za wazazi utafikiri kapata kazi wodi ya wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…