Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Hicho choo ni imara sana brand yake ina itwa JIKA kutoka Czech Republic kwa bidhaa za choo na flush tank awa jamaa JIKA ni hatari bidhaa zao ni imara sana
 
Fundi mzuri wa kujenga chemba kwa ubora kwa bei ya elfu kumi na nane no 0785707660
 
Choo cha kukaa complete flush tank la kuficha ukutani bei Laki 7 na nusu
 
Kitchen sink ikiwa na pillar tap mixer mixer maji moto maji baridi bei laki 2 na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…