plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
- Thread starter
- #161
Sawa mkuu hipo kama hiyo lita 10 bei laki mbili na 80 hiko poaTunaomba utuwekee na heater zinazofungwa kwa nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu hipo kama hiyo lita 10 bei laki mbili na 80 hiko poaTunaomba utuwekee na heater zinazofungwa kwa nje.
Kitendo cha kuweka koki au shower nacho kina itwa plumbingItakuwa amejichanganya kiaina, labda anamaanisha kufunga tu hivyo vitu[emoji16][emoji16] ila mtandao ameshauset
Kwa zilivyo karibu lazima choo na sink vichakae na mapovu
Kama choo ni imara na ni bora haina shida ila kama sio imara ni hatari pia inaweza kutengeneza kutuKwa zilivyo karibu lazima choo na sink vichakae na mapovu
Ninataka mfumo uwe kama hivyo, bomba liwe la mvua tu sio la kuminyaminya hivyo, ila hiyo unayoita bath tub nataka iwepo. Nimeona kama ina kizuizi kwa maji ya kuoga hayatawanyiki kuja kwenye choo au sinki la kunawia.Mkuu una taka liwe hiyo lilivyo au unataka mfumo uwe hivyo ila sehemu ya bath tub utaweka tu mfumo wa bomba la mvua (shower rose)
Dah, hili la kinyamwezi sana, kabafu kazuri. Safi sanaSimple muonekano mzuri lakini gharama kidogo View attachment 2494075
Kupunguza gharama bathu tub fundi alminium ana weza kukuwekea vioo fresh kuliko kuagiza ni bei kubwa utaweka shower rose bei yake ni laki nne na nusu.Kama la mvua la kawaida bei laki na nusuNinataka mfumo uwe kama hivyo, bomba liwe la mvua tu sio la kuminyaminya hivyo, ila hiyo unayoita bath tub nataka iwepo. Nimeona kama ina kizuizi kwa maji ya kuoga hayatawanyiki kuja kwenye choo au sinki la kunawia.