plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
- Thread starter
- #121
Heater lita 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hii alfu ngapi?
Na hii alfu ngapi boss?Magma bath tube haya yana agizwa kutoka ulaya na Asia (China na India)bei milioni 5 na kuendelea View attachment 2475526View attachment 2475527View attachment 2475528
Milioni tatu na nusu mpaka nneKama hii alfu ngapi?
Milioni nane mpaka kumi inategemeana na fitting zake kama kuna sauna n.kNa hii alfu ngapi boss?
Duh kumbe kuna maliwato ya zaidi ya Tsh 10,000,000/= tena kwa single item? Mbona kuna thread ulisema ni laki mbili tu, watu wakakomenti kuwa huwa wanaskia story za kutishwa na waliokwishajenga kuongeza sifuri kibao. Muwe mnafafanua kuwa madaraja ya nyumba yapo tena yenye gepu kubwa baina ya nyumba ya kiwango flani na flaniMilioni nane mpaka kumi inategemeana na fitting zake kama kuna sauna n.k
Duh kumbe kuna maliwato ya zaidi ya Tsh 10,000,000/= tena kwa single item? Mbona kuna thread ulisema ni laki mbili tu, watu wakakomenti kuwa huwa wanaskia story za kutishwa na waliokwishajenga kuongeza sifuri kibao. Muwe mnafafanua kuwa madaraja ya nyumba yapo tena yenye gepu kubwa baina ya nyumba ya kiwango flani na flani
Ilo ni bath tub so gharama yake ni kubwa sana..Laki mbili una kamilisha choo flesh tu lakini ukitaka mambo makubwa zaidi ni gharama zaidi..Angalia hiyo picha hicho choo gharama yake ni laki mbili kwa material yote ya bomba choo, single shower, cock, shatafu flush tank,mabomba na viungo vyake ...Duh kumbe kuna maliwato ya zaidi ya Tsh 10,000,000/= tena kwa single item? Mbona kuna thread ulisema ni laki mbili tu, watu wakakomenti kuwa huwa wanaskia story za kutishwa na waliokwishajenga kuongeza sifuri kibao. Muwe mnafafanua kuwa madaraja ya nyumba yapo tena yenye gepu kubwa baina ya nyumba ya kiwango flani na flani
Ndio madaraja sasa haya tunayosema. Kila mmoja anaingia daraja analofitIlo ni bath tub so gharama yake ni kubwa sana..Laki mbili una kamilisha choo flesh tu lakini ukitaka mambo makubwa zaidi ni gharama zaidi..Angalia hiyo picha hicho choo gharama yake ni laki mbili kwa material yote ya bomba choo, single shower, cock, shatafu flush tank,mabomba na viungo vyake ...View attachment 2490981