Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Basin laki na nusu complete
255677713490_status_2907c0a232c2463f9a15cd2d02d7ab38.jpg
 
Hii ina itwa non return valve kazi yake ni kupeleka maji mwelekeo mmoja bila kurudi nyuma au kublock maji..Sehem inapo wekwa hii non return valve zipo za aina mbali mbali kwa maumbo hipo ndogo kabisa ina kaa ndani ya mita kuzuia maji yasirudi nyuma...Pia ina tumika kutenganisha mfumo maji ya tank na ya mamlaka ili kila maji yaende kwa njia yake pia ina saidia kuongeza kiasi flani cha pressure japo kwa kiasi kidogo kwenye kuingiza maji kwenye tank maana hii sifa yake ni kupereka maji mbele tu...Ufungaji ni kuilekeza maji unapo taka yaende kwani ina mshale wa kuelekeza kama hakuna mshale ipulize panapo toa hewa ndio mbele pasipoa hewa ni nyuma...
FB_IMG_16551396296159058.jpg
 
Hii ina itwa non return valve kazi yake ni kupeleka maji mwelekeo mmoja bila kurudi nyuma au kublock maji..Sehem inapo wekwa hii non return valve zipo za aina mbali mbali kwa maumbo hipo ndogo kabisa ina kaa ndani ya mita kuzuia maji yasirudi nyuma...Pia ina tumika kutenganisha mfumo maji ya tank na ya mamlaka ili kila maji yaende kwa njia yake pia ina saidia kuongeza kiasi flani cha pressure japo kwa kiasi kidogo kwenye kuingiza maji kwenye tank maana hii sifa yake ni kupereka maji mbele tu...Ufungaji ni kuilekeza maji unapo taka yaende kwani ina mshale wa kuelekeza kama hakuna mshale ipulize panapo toa hewa ndio mbele pasipoa hewa ni nyuma...View attachment 2493786
Fundi amefunga hii kwenye bomba linalotoa maji kwenye tank, ajabu maji ya mamlaka yakitoka, yanasukuma hadi kwenye tank na unasikia kabisa jinsi yanavyoshindana na yale yanayotokea kwenye tank.
 
Fundi amefunga hii kwenye bomba linalotoa maji kwenye tank, ajabu maji ya mamlaka yakitoka, yanasukuma hadi kwenye tank na unasikia kabisa jinsi yanavyoshindana na yale yanayotokea kwenye tank.
Amefunga kwa minajili ya kutenganisha maji ya tank na mamlaka? au kafunga tu kwenye bomba la kutoa maji kwenye tank?...Hii kazi yake ni kusaidia kutenganisha mifumo maji ya mamlaka yaende kivyake na ya tank yaende kivyake au inafungwa kwenye bomba la kuingiza maji ya tank(inlet) kuongeza pressure..
 
Amefunga kwa minajili ya kutenganisha maji ya tank na mamlaka? au kafunga tu kwenye bomba la kutoa maji kwenye tank?...Hii kazi yake ni kusaidia kutenganisha mifumo maji ya mamlaka yaende kivyake na ya tank yaende kivyake au inafungwa kwenye bomba la kuingiza maji ya tank(inlet) kuongeza pressure..
Ameifunga ili maji ya mamlaka yasiende kwenye tank kupitia bomba la kutolea maji kwenye tank maana ameunga maji ya tank yawe yanatoka kwenye tap ya kukingia maji ya mamlaka pindi yanapokatika.
 
Unaona hapo, kushoto ni outlet na kulia ni inlet. Hiko kidudu cha no return ameweka hapo kwenye outlet ili kisipandishe maji kwenda kwenye tank, ajabu maji yakitoka huwa yanapanda tu.
IMG_20230124_151101~2.jpg
 
Stop cock hii ni aina ya valve ambayo ina faa kwa ajili ya wale wanao taka kuweka bomba la mvua la kutengeneza kwa bomba ili kuepuka kununua (shower rose)
FB_IMG_16745619841434026.jpg
 
Hii ni air valve zipo size ndogo na kubwa kazi kubwa ya hii valve ni kuondoa upepo ndani ya bomba hipo hivi hili maji ya yende yana itaji upepo lakini ukizidi una tengeneza kitu kina itwa water hammer madhara yake ni kupasuka kwa bomba au kuzuia maji kutoka ukifingua una toka upepo so hii air valve ina ondoa upepo au ina balance upepo na kusaidia mjongeo wa maji na kuondoa madhara ya mabomba kupasuka
FB_IMG_16745628911658041.jpg
 
Hebu liwekee bajeti hili bafu, nimelielewa sana. Nipe bajeti yake kwa vifaa vya kawaida mkuu
Mkuu una taka liwe hiyo lilivyo au unataka mfumo uwe hivyo ila sehemu ya bath tub utaweka tu mfumo wa bomba la mvua (shower rose)
 
Back
Top Bottom