Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Kwa hiyo ukiweka hiyo huna hajanya kujenga water tank tower?
Unaweza ukanishaurije? Maana kuna mwamba alisema water tank tower ni gharama bora ufunge pump. Mimi nikasema ishu ya umeme na vifaa vya kichina kufa kila mara.

Original yake bei ngapi?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Huna aja lakini mnara ni muhimu kwa sababu una kupa pressure mda wote kwa pressure pump ina kupa uhakika wa pressure kama umeme hupo kama hakuna umeme utapata shida ya maji pressure pump original laki moja na nusu..
 
Phase 1 kwa maji moto na baridi kwa kila choo tuna fanya kwa laki moja gharama ya ufundi na kwa maji baridi tu tuna fanya kwa elfu sabini...
 

Attachments

  • FB_IMG_16647666792494630.jpg
    69.7 KB · Views: 32
Unataka aunde group la wasap halafu hapa jukwaani apotee asionekane tena? Kuna ulazima gani kuunda group la WhatsApp ili hali yupo hapa muda wote? Unajua ni wangapi wamefaidika na hii thread?
Mkuu usiwe na wasiwasi kamwe siwezi kupotea hapa jukwaani..Labda itokee dharula iliyo nje ya uwezo wangu
 
Mkuu kijibomba kinachoingiza maji kwenye pump au kinachotoa maji kwenye pump? Asante sana Engineer kwa majibu yako! Mungu akubariki sana!
 
Ok nashukuru mkuu, nimesafiri kidogo kutafuta riziki, nikirudi nitafanya hivyo.
 
Wakuu tukisha weka mfumo wa bomba ni muhimu utafute fundi mzuri wa tiles na akuchagulie rangi ambayo ukifunga Bath/Wc/appliance ziweze kupendeza na kuleta mvuto zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…