Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

PRESSURE PUMP...Hii matumizi yake nikuongeza msukumo wa maji kwa sehemu zenye msukumo mdogo lakini kumbuka pressure yake ikiwa kubwa ina weza kuaribu mifumo ya ndani ikwemo bomba shower n.k ni bora itumike kupandisha maji kwenye tank na ya tank ndio yatumike ndani unless angle valve usifungue mpaka mwisho hili kulinda vifaa cha mwisho hakikisha umenunua original wengi ulalamika kupoteza ufanisi au kufa haraka...View attachment 2537959
Kwa hiyo ukiweka hiyo huna hajanya kujenga water tank tower?
Unaweza ukanishaurije? Maana kuna mwamba alisema water tank tower ni gharama bora ufunge pump. Mimi nikasema ishu ya umeme na vifaa vya kichina kufa kila mara.

Original yake bei ngapi?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ukiweka hiyo huna hajanya kujenga water tank tower?
Unaweza ukanishaurije? Maana kuna mwamba alisema water tank tower ni gharama bora ufunge pump. Mimi nikasema ishu ya umeme na vifaa vya kichina kufa kila mara.

Original yake bei ngapi?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Huna aja lakini mnara ni muhimu kwa sababu una kupa pressure mda wote kwa pressure pump ina kupa uhakika wa pressure kama umeme hupo kama hakuna umeme utapata shida ya maji pressure pump original laki moja na nusu..
 
Kupanga ni kuchagua
FB_IMG_16733718522306657.jpg
 
Phase 1 kwa maji moto na baridi kwa kila choo tuna fanya kwa laki moja gharama ya ufundi na kwa maji baridi tu tuna fanya kwa elfu sabini...
IMG_16628682503567992.jpg
IMG_20221203_173023_5.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16647666792494630.jpg
    FB_IMG_16647666792494630.jpg
    69.7 KB · Views: 32
Unataka aunde group la wasap halafu hapa jukwaani apotee asionekane tena? Kuna ulazima gani kuunda group la WhatsApp ili hali yupo hapa muda wote? Unajua ni wangapi wamefaidika na hii thread?
Mkuu usiwe na wasiwasi kamwe siwezi kupotea hapa jukwaani..Labda itokee dharula iliyo nje ya uwezo wangu
 
Fungua kijibomba ambacho kimeunga hapo kwenye pump kinacho peleka maji ndani then uangalie kama itajiwasha..Ikijiwasha hapo ujue pump ndio mbovu lakini isipo jiwasha fatilia gate valve zote chini kwenye kwenye kati ya bomba na elbow au kutoka kwenye bomba la pump kwenda ndani kuna leakage ndogo sana jaribu kuchunguza kwa makini hilo bomba
Mkuu kijibomba kinachoingiza maji kwenye pump au kinachotoa maji kwenye pump? Asante sana Engineer kwa majibu yako! Mungu akubariki sana!
 
Ok kwanza chungulia wingi wa maji yapo kiasi gani ndani ya tank kama yapo mengi nenda uangalie outlet ya tank ina gate valve kaangalie kama imefunguliwa mpaka mwisho au kidogo sometime mtu ana weza kuichezea pili nenda kwenye gate valve inayo control maji kutoka kwenye tank kwenda ndani uangalie imefunguliwa mpaka mwisho au kidogo kama hipo sawa..Nenda kwenye outlet ya tank fungua angalia kama maji yanatoka mengi au kidogo kama yanatoka kidogo basi tank litakuwa na tope..
Kama hakuna tope basi umbali wa juu wa tank ni mdogo
Ok nashukuru mkuu, nimesafiri kidogo kutafuta riziki, nikirudi nitafanya hivyo.
 
Wakuu tukisha weka mfumo wa bomba ni muhimu utafute fundi mzuri wa tiles na akuchagulie rangi ambayo ukifunga Bath/Wc/appliance ziweze kupendeza na kuleta mvuto zaidi
FB_IMG_16747129715526712.jpg
 
Back
Top Bottom