LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Kwa hiyo ukiweka hiyo huna hajanya kujenga water tank tower?PRESSURE PUMP...Hii matumizi yake nikuongeza msukumo wa maji kwa sehemu zenye msukumo mdogo lakini kumbuka pressure yake ikiwa kubwa ina weza kuaribu mifumo ya ndani ikwemo bomba shower n.k ni bora itumike kupandisha maji kwenye tank na ya tank ndio yatumike ndani unless angle valve usifungue mpaka mwisho hili kulinda vifaa cha mwisho hakikisha umenunua original wengi ulalamika kupoteza ufanisi au kufa haraka...View attachment 2537959
Unaweza ukanishaurije? Maana kuna mwamba alisema water tank tower ni gharama bora ufunge pump. Mimi nikasema ishu ya umeme na vifaa vya kichina kufa kila mara.
Original yake bei ngapi?
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app