Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Gate valve hii ni full way hii ina control maji yenye pressure ndogo kwa hiyo hii ina faa sana kufungwa majumbani pia kwenye magari ya mafuta..
 
Fundi kapiga rula haswaa
Kwa uzoefu wangu kuna mafundi wana uwezo mkubwa sana japo hawapo mtandaoni kabisa kutangaza kazi zao awa uta wakuta kwenye makampuni aswa ya wa Indi,Wachina na Wataruki kutokana na kusimamiwa na kupata uzoefu wa wenzetu kazi zao zinakuwa nzuri so mimi nikapata mchongo wa Tiles uwa nawachukua mafundi kutoka Estim wako poa sana
 
Bei zao zinakuwaje?
 
I'm so interested
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…