Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

hiyo ni mateial ya mbao badala ya mable? Je mbao hiyo unazuaje maji yasiingie na ikaoza
 
Pillar tap (mdomo wa bata) hii kariakoo haina bei maalum ina anzia 130,000 mpaka 75,000 pengine una weza pata kwa bei nafuu kidogo
 
Kwa ushauri na kwa mifumo yote ya plumbing whatsaap 0785707660 call 0785707660
 
Habari zenu wakuu nimekuwa niki ulizwa mara kwa mara na wadau wa plumbing kuhusu kuwa nunulia material na kuwa tumia huko walipo..Niweke sawa hili mimi ni fundi na kutokana naenda sana kariakoo kuchukua material niki kuta kuna bidhaa mpya au kitu kizuri nakuwa na post..So sihusiki kabisa na kumnunulia mtu material au kutuma material..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…