Mkuu plumbing ya awali nilishafanya kabla ya Tiles, saivi nasubiri Kazi ya Tiles ikamilike ndiyo nianze kufunga hizo finishings accessories kama shower, masink ya choo Cha kukaa n.kPlumbing baada ya tiles?ππππππ
Nitashukuru MkuuMkuu me ni fundi lakini kariakoo bidhaa ni nafuu sana uta okoa kiasi kikubwa cha pesa kuliko mtaani nitakupa namba pm ya wauzaji kariakoo
Plumbing maana yake kuweka mfumo na vifaa vyake so ajakosea ata kidogo so baada ya tiles kinacho fuata ni sanitary plumbingPlumbing baada ya tiles?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, maana uliposema plumbing nikajua unaweka mabomba! Hivi kufunga ma-sink nayo inaitwa plumbing? Ila hongera mkuu kwa kujikomboa maana vijana wenzio wanamalizia hela kwenye Pombe!Mkuu plumbing ya awali nilishafanya kabla ya Tiles, saivi nasubiri Kazi ya Tiles ikamilike ndiyo nianze kufunga hizo finishings accessories kama shower, masink ya choo Cha kukaa n.k
Plumbing ni mfumo wote wa maji taka na safi vikiwemo vifaa vyake vyote vya usafi (sanitary)vyoo n.k na vya maji safi cock n.kDuh, maana uliposema plumbing nikajua unaweka mabomba! Hivi kufunga ma-sink nayo inaitwa plumbing? Ila hongera mkuu kwa kujikomboa maana vijana wenzio wanamalizia hela kwenye Pombe!
Nimewaza sana hata mimi nikaogopa kuulizaPlumbing baada ya tiles?ππππππ
Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe ila wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.Duh, maana uliposema plumbing nikajua unaweka mabomba! Hivi kufunga ma-sink nayo inaitwa plumbing? Ila hongera mkuu kwa kujikomboa maana vijana wenzio wanamalizia hela kwenye Pombe!
[emoji2][emoji2][emoji2]Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe na wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.
Mliojenga mnamchukulia kila asiyejenga Ni mzembe na mlevi. Siyo sawa mnatuonea.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapo tofauti yake na hivyo vya 25 ni kipi mkuu?Hivi vyoo vya kuchuchumaa bei elfu 25View attachment 2475477
Ukubwa na ubora na brand ya kampuni inshort vitu vya bomba ubora una karibiana utofauti ni muonekanoHapo tofauti yake na hivyo vya 25 ni kipi mkuu?
Nina Jacuuz jipya kama hili hili hapa. Naliuza milioni 2 tu. Halijatumika ni jipya kabisa
ππ Hao hua Ni motivational speakers mkuu,usiwamaindi.Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe na wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.
Mliojenga mnamchukulia kila asiyejenga Ni mzembe na mlevi. Siyo sawa mnatuonea.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Bei nzuri kabisaNina Jacuuz jipya kama hili hili hapa. Naliuza milioni 2 tu. Halijatumika ni jipya kabisa