Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Ohoo..kishanuka🀣
 
Maji moto hawakuweka au shida kubwa ni hipi kwenye mfumo wa maji moto?
 
πŸ˜„πŸ˜„ Hao hua Ni motivational speakers mkuu,usiwamaindi.
Mkuu motivesheni spikazi huwapendi kabisa. Naonaga replies zako nyingi kuwakandia. Ila ni watu wanatukatisha tamaa kuliko kutufanya tupambane. Imajini mtu anaisingizia pombe kisa vijana wengi hawajajenga. So anataka tuhitimishe kwamba vijana hawajengi kisa wanakunywa Sana pombe?

Kuanzia Leo na Mimi naanza kuwachukia motivensheni spikazi.
 
Kujenga ni utashi haiusiani na pombe wala nini wanywa pombe wana mijengo mikali tu kujenga ni maamuzi tu na wakati ukifika ni kama kuoa ni hamu tu inakuja una oa
 
Duh, maana uliposema plumbing nikajua unaweka mabomba! Hivi kufunga ma-sink nayo inaitwa plumbing? Ila hongera mkuu kwa kujikomboa maana vijana wenzio wanamalizia hela kwenye Pombe!
Zote ni plumbing Mkuu

Suala la kujenga nimelipa kipaumbele kikubwa Sana Mkuu, plan yangu nataka nikifika miaka 50 Mungu akinipa Uhai niwe na walau nyumba 20 Mikoa tofauti.

Inshallah Mungu atupe Uzima
 
Kila mtu ana starehe yake Mkuu, Ukiona mtu hanywi unaweza Kuta starehe yake ni Chini. Mwingine starehe yake ni kunywa, mwingine anapiga vyote kilevi na Chini πŸ™Œ

Kama ulivyosema suala la Ujenzi ni utashi wa mtu ila hivyo vitu viwili vinaweza kuchangia Kutofikia Malengo kwa vijana wengi na watu wazima.
 
Kama umesema wewe,basi sikupingi.
 
Kwa sababu umejenga.
Ni Neema tu Mkuu, wengine tumetokea familia Duni kupindukia kwahiyo ilitulazimu kujinyima vingi kuweza kufikia lengo la kujenga.

Fortunately nimejenga nyumba yangu ya kwanza nikiwa na 32

Haina kukata tamaa, huku Afrika wanasema maisha yanaanza ukiwa na miaka 40. Let's keep hustling πŸ’ͺ
 
Mimi na miaka yangu 50 bado Sina kiwanja. Tatizo kubwa Sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…