Ijuie bidet..Bidet ni kifaa maalum kwa ajili ya kutapikia na kujitawazia.. Muonekano wake ni kama choo cha kukaa..
Muhimu wa bidet
*Kusaidia kuweka mazingira safi kwa wale wanao tumia kwa ajili ya kutapikia..
*Inawasaidia wazee na wagonjwa kujisafisha baada ya kujisaidia...
UFUNGAJI MFUMO
*Zipo ambazo zina support (mixer)maji moto maji baridi
*Zipo ambazo ni maji baridi tu japo kwa maisha ya sasa ni ngumu kuweka mfumo wa maji baridi tu..
NB..ZINAFUNGWA KARIBU NA CHOO IWE CHA KUKAA AU KUCHUCHUMAA
AINA ZA BIDET
*AUTOMATIC...Hii ina usisha umeme pembeni ina kuwa na batani ukibonyeza ina kusafisha fresh bila shida..ZINA WAFAA ..Wagonjwa waliotoka kujifungua wazee walio pata ajali..
*ZAKAWAIDA...Hizi mara nyingi ni kwa ajili ya kutapikia tu kunawa uso au kusafisha miguu na mara chache kujita wazia..
KUMBUKA HIZI HAZI WAFAI NWAGONJWA.. Labda awepo mtu pembeni wa kumsafisha namanisha walio pooza wanao umwa sana au wazee..
Mara nyingi bidet utazikuta hosptalini majumbani ni wachache wanao ziweka lakini ni muhimu kuwepo..
View attachment 2476740