Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Milioni nane mpaka kumi inategemeana na fitting zake kama kuna sauna n.k
Duh kumbe kuna maliwato ya zaidi ya Tsh 10,000,000/= tena kwa single item? Mbona kuna thread ulisema ni laki mbili tu, watu wakakomenti kuwa huwa wanaskia story za kutishwa na waliokwishajenga kuongeza sifuri kibao. Muwe mnafafanua kuwa madaraja ya nyumba yapo tena yenye gepu kubwa baina ya nyumba ya kiwango flani na flani
 

Hii hapa milioni 40.
 
Ilo ni bath tub so gharama yake ni kubwa sana..Laki mbili una kamilisha choo flesh tu lakini ukitaka mambo makubwa zaidi ni gharama zaidi..Angalia hiyo picha hicho choo gharama yake ni laki mbili kwa material yote ya bomba choo, single shower, cock, shatafu flush tank,mabomba na viungo vyake ...
 
Ndio madaraja sasa haya tunayosema. Kila mmoja anaingia daraja analofit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…