Ninataka mfumo uwe kama hivyo, bomba liwe la mvua tu sio la kuminyaminya hivyo, ila hiyo unayoita bath tub nataka iwepo. Nimeona kama ina kizuizi kwa maji ya kuoga hayatawanyiki kuja kwenye choo au sinki la kunawia.
Kupunguza gharama bathu tub fundi alminium ana weza kukuwekea vioo fresh kuliko kuagiza ni bei kubwa utaweka shower rose bei yake ni laki nne na nusu.Kama la mvua la kawaida bei laki na nusu
Hearter bei 280,000
Choo bei 150,000
Basin bei 180,000 pamoja na mixer yake
Mabomba matatu bei elfu 30,000
Elbow 21 bei elfu 12
Tee sita bei elfu tatu
Nipple bei sita bei elfu tatu
Seal tap 15 bei elfu saba
Nipple socket 9 bei elfu 4,500
Soket 6 bei elfu 3,000
Gate valve moja bei 10,000
Angle valve nne bei elfu 40,000
Shatafu bei elfu 12,000
Flexible mbili bei elfu 20,000
Mkuu uta jumlisha hizo ndizo gharama zake..