Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Humu JF sio pa kupaamini kila mtu anaongea anachojisikia, hawajawahi hata kumuona huyo coca wamemkomalia mwanaume.!!
Wakiambiwa wathibitishe hawana uthibitisho kisa anatetea upinde ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nasubiria aniletee mtoto nuitรฉe auntie mara ya mwisho nilimwambia anywe mkunde pori mimba iingie ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

JF unaletewa habari zinazokuhusu we mwenyewe muhusika huzijui ๐Ÿ˜†
Hongera yake kwa kuolewa
 
Kaolewa?
Hivi si inasemekana cocastic ni ....au basi
Ku-judge mwisho 2024
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
JF unaletewa habari zinazokuhusu we mwenyewe muhusika huzijui ๐Ÿ˜†
Hongera yake kwa kuolewa
Ila nyingine za kweli km zile za vibumbu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ‘Œ

Ila mwaka ulikuwa wa moto huu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mambo kwa ushahidi, wanaume wa humu ukiachana nao km ulimpa tu nude pics jiandae kuaibishwa..!!
Mambo ya piemuni yote hadharani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น
 
Hata kama umewazidi wazazi wako umri sio vizuri kuwadharau..
 
Ila nyingine za kweli km zile za vibumbu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ‘Œ

Ila mwaka ulikuwa wa moto huu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mambo kwa ushahidi, wanaume wa humu ukiachana nao km ulimpa tu nude pics jiandae kuaibishwa..!!
Mambo ya piemuni yote hadharani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น
Weeee.. huwa mnatumiana nudes?

Kumbe humu mzembe mimi tu aseeh
 
Ila nyingine za kweli km zile za vibumbu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ‘Œ

Ila mwaka ulikuwa wa moto huu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mambo kwa ushahidi, wanaume wa humu ukiachana nao km ulimpa tu nude pics jiandae kuaibishwa..!!
Mambo ya piemuni yote hadharani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น

Vibumbu ni kitu gani tena jamani ๐Ÿ˜‚ na stori yake nafikiri ilinipita

Halafu lengo la kutuma nudes kwa mwanaume ni ili apigie nyeto ama ni nini mimi ndo mshamba wa jiji?
 
Dah kwa mimi binafsi maisha nimeamua kuyapa thamani ya furaha , japo kuna changamoto ila nimeamua pia kuziweka kama nafasi ya kujifunza tu ,hivyo mda wote nafurah tu, na nina penda kila mtu bila kujali anachokiwaza, japo humu watu wanaotumia hisia ya mihemko na hasira nawachukulia akili ndogo , japo pia wanaweza wasiwe hivyo, ila kwangu mimi nimeona niwachukulie hivyo tu ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Back
Top Bottom